Wanawake wengi wanashindwa kusema hapana(Directly) wanapotongozwa

Hajulikani

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
273
248
Wadau habarini za mchana.

Kuna tabia nimeigundua upande wa wadada. Nako ni ugumu wa kusema "Hapana nipo na Mtu ninampenda" unakuta mdada anakwambia anakupenda kweli lakini anaendekeza mawasiliano na wanaume ambao anajua wazi wanamtaka.

Yani Wanawake wengine hawezi kumwambia directly Mwanaume anaemtongoza kwamba "haiwezekani kwasababu ninampenda mwanaume mwingine".

Yani mpaka anaetongoza anakuwa na imani kwamba siku moja atafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm niko hivyo napenda kutongozwa kusifiwa nikutapeli tapeli vihelaaa ndo hivyo tu ila inategemeana na aina ya mwanamme kama una sura baya huna helaa upoupo tu kama mzukulee nakukataa siku mojaa ila ukute mwanamme amemzidi mpaka boy wako nitakuchekea chekea hapo natafuta mbinu unaweza kuwa mpenzi wangu.

mkuu kwahiyo ukimpata babalao mmoja bado utakuwa unaendekeza hawa wadogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm niko hivyo napenda kutongozwa kusifiwa nikutapeli tapeli vihelaaa ndo hivyo tu ila inategemeana na aina ya mwanamme kama una sura baya huna helaa upoupo tu kama mzukulee nakukataa siku mojaa ila ukute mwanamme amemzidi mpaka boy wako nitakuchekea chekea hapo natafuta mbinu unaweza kuwa mpenzi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh we ni mwizi wa mapenzi kumbe ndio mlivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm niko hivyo napenda kutongozwa kusifiwa nikutapeli tapeli vihelaaa ndo hivyo tu ila inategemeana na aina ya mwanamme kama una sura baya huna helaa upoupo tu kama mzukulee nakukataa siku mojaa ila ukute mwanamme amemzidi mpaka boy wako nitakuchekea chekea hapo natafuta mbinu unaweza kuwa mpenzi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unayemtapeli naye ni boya.... Ukiomba hela sikutumii.... tukiwa hotelini tena chumbani ndiyo naweza kukupa... maana huko lolote laweza tokea... lakini hizi baby naomba laki moja nimepungukiwa hapa nipo Woolwolth,nakutema faster.... Ukitaka kula,lazima uliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm nakutema si mpo wengi wapo tu maboya wenzio nitawapiga
Unayemtapeli naye ni boya.... Ukiomba hela sikutumii.... tukiwa hotelini tena chumbani ndiyo naweza kukupa... maana huko lolote laweza tokea... lakini hizi baby naomba laki moja nimepungukiwa hapa nipo Woolwolth,nakutema faster.... Ukitaka kula,lazima uliwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom