Je na Wewe unakubaliana kuwa hivi ndivyo ' Virusi ' vikubwa vinavyosababisha Ndoa nyingi hasa nchini Tanzania Kuvunjika / Kutodumu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
' Virusi ' vyenyewe hatari na vinavyoongoza kwa ' Kuachanisha ' Ndoa za Wapendao ( Watu ) ni hivi:

1. Mzazi wa Kike ( Mama yake Binti anayeolewa )......65%

2. Dada / Ndugu wa jinsia ya Kike ya Binti anayeolewa....25%

3. Marafiki wa Kike wa huyo Binti anayeolewa....5%

4. Maadui zako Mtaani / Maofisini....4%

5. Pepo / Shetani....1%

Nawasilisha.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,161

6. JAMII FORUMS: . Mfano mzuri ni Wewe mwenyewe una shinda jf masaa 24 unapata wapi muda wa kumuhudumia mumeo. Yani Geny mi ndo ningekuwa nimekuoa ungekuwa usharudi kwenu siku nyingi sana
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
7,201
2,000
' Virusi ' vyenyewe hatari na vinavyoongoza kwa ' Kuachanisha ' Ndoa za Wapendao ( Watu ) ni hivi:

1. Mzazi wa Kike ( Mama yake Binti anayeolewa )......65%

2. Dada / Ndugu wa jinsia ya Kike ya Binti anayeolewa....25%

3. Marafiki wa Kike wa huyo Binti anayeolewa....5%

4. Maadui zako Mtaani / Maofisini....4%

5. Pepo / Shetani....1%

Nawasilisha.
Kirusi cha kwanza ni mkeo wa ndoa.

Mkeo akiwa na akili 0% basi atayumbishwa na kila mtu.hatakuwa na uwezo wa kuchuja zuri na baya.

Kwa hivyo ili hivyo virusi vingine ulivyotaja visiathiri ndoa yako basi kwanza ufanye kinga ya kupata mke mwenye akili na muelewa.

Ukipata mke mwenye akili ya muelewa basi jua hivyo virusi vyote vitagonga mwamba na havitaathiri chochote katika ndoa yenu.

Lakini kama mkeo ni kilaza basi tegemea hivyo virusi kuwa nyumbani kwa mkeo.
 
shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,355
2,000
mbona ma ex umewaacha huw wanaendelea kuwepo hata mtu akiwa kwenye ndoa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom