Nimerudi tena kutafuta mwanamke wa kuoa jamani aliye serious.

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Habari za saa hizi.

Kwanza kabisa nikiri kuwa nishawahi kuja humu kutafuta kimwana ila ndo hivo mambo hayakuwa sawa. Kwanza kabisa nikiri kuwa nilipata kimwana ila hakuwa serious kabisaaa...

Eti mtu tumewasiliana vizuri tu na kwa amani yote kuwa sawa basi tukutane. Siku ya kukutana nikachomeshwa mahindi, mara ya kwanza, mara ya pili na mara ya tatu. Kwahiyo jamani vimwana wote ukija PM uwe serious.

Vigezo vyangu ni vile vile. (Kama thread iliotangulia).

Sichagui dini wala kabila.

Am at very late twenty.

Elimu yangu ni diploma.

Nahitaji mwanamke ambae yuko Dar ili kuonana isichukue mda mrefu.

Mtu serious anahitajika nasisitiza.
 
Mi nahitaji mwanamke ambae umri 20 - 26, dini kabila sichagui, angalau awe na elimu hata form 4. Awe na tabia njema. Sura sio lazima iwe nzuri ila isiwe mbaya sana
 
Mkuu hapo kitaani huzioni sketi mpka uje humu

Unaweza kuonana na mdada ambae ni muuza vitumbua hapo mtaani na unamjua akataka muonane

Sijui utamkataa??

Maana Jf raha sana......hatujuani, humu tunakutana pm vzr tu....kumbe mtaani tunakutana kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuweli kitaani kwetu wengi wake za watu halafu hata waschana wachache waliopo kuna wadangaji humo humo usisahau na wacheza chura. Sasa kuna mke kweli hapo ?
 
Mchumba unapata bwana. Wanapenda kuambiwa una kazi.

Waambie wasikie vizuri..
Huyo ambaye hamkukutana ulijua sababu ni nini?
Mara ya kwanza tulipopanga kuonana alinambia kuwa alikuwa ananipima kama niko serious.

Mara ya pili akasema alikuwa anapima uvumilivu wangu.

Mara ya tatu aliponichomesha hindi nilijaribu kumpigia hakupokea kesho yake nikajaribu kumpigia hakupokea, tuma sms hajibu, siku ya pili napo hivyo hivyo basi nikaingia whatsapp nikamsema kidogo akajibu "nashkuru".

Basi mpaka leo sijamtafuta tena maana niliona hayupo serious
 
Labda alifika eneo la tukio akakuona kwa mbali akaona hamuendani akala kona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom