Utafiti: Ndoa kati ya mwanaume mrefu na mwanamke mfupi ndio hua ndoa bora zaidi.

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,493
2,000
Katika kupitia pitia masuala ya ndoa mitandaoni nikakutana na hii kwamba ndoa kati ya mwanaume mrefu na mwanamke mfupi hua ndio ndoa zenye furaha zaidi na kua bora.

Binafsi sijui kama ni kweli au ni uongo lakini mnaweza kusoma wenyewe.

Mimi nina kidem changu kingoni kifupi ila kizuri balaa, hua napata wakati mgumu sana kwenda mbele kukihusu maana ni kifupi na mimi nasimama 190cm. Chenyewe kama 150something to 160something. Natamani kingekua 170+ ningekua nishakiweka ndani.

Wenye ndoa au mahusiano na wanawake wafupi, hii ni kweli?
https://www.maxim.com/maxim-man/tall-men-and-short-women-make-happier-couples-2018-1
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,120
2,000
Huwa nachukua stool napanda kumfunga tai tunacheka sana nkimaliza ananishusha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom