Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Joined
Feb 23, 2019
Posts
42
Reaction score
19
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .

Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.
 
Huna dini?
Mkuu Dini ninayo ,ila hata uko makanisan najikuta natembea tembea na wadada, sasa mwisho inajulikana nmelala nahuyu. Nahuyu

Mpaka nmeamua kutokwenda. Inafikia mida nataman nikae Dunia yangu tu isokua na wanawake .
 
Duh, Tuanzie hapa, Huwa unawapendea nini? Yaani kile kitu unachokipenda zaidi kwao ni kipi?

Then mtafute huyo ndio awe wako, lakini the best option tafuta mpenzi ambaye mtakua na interest sawa.....

Otherwise Ukipata gono, kaswende au UKIMWI Utaacha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio maana najutia. nafanya mambo lkn mwisho najutia sana, naweza sali kabisa kua kuanzia leo naacha. Lkn ndani ya muda mfupi, nmefanya yaleyale .

Hamna kitu chamaana nachowapendea ila tu ile kusex ndo naona fahar, na baadae nikikaa najutia.

Kuna siku nmelala na wanawake watatu kwa siku moja nyakat tofaut. ,nililia sana ,nililia sana kwa majuto ila napo nkasahau.

Napata mdada anakua ananipenda ILA MIMI ,MKUU MIMI NDO NAYEVURUGA .

Nahapa ndo nahitaj nisaidie
 
Kuna watu wa namna hii,
Na mara nying wanakuwa wamechanjiwa..
Ila kwakuwa unajua hilo basi ww ndio unatakiwa kuzuia watu wengne wasifall kwako..

Jiepushe na hizo kadhia kwa kutoentertain victim wako.
Wakazie..

Alaf JF umesema umetembea na wadada wangap?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100-900 bado idadi ndogo mkuu ila kama unataka kuacha ni uamizi tuu kwamba sasa naacha basi
Nahitaj kuacha, nahitaj nimrudie Muumbaji wangu. Nahitaj kua namtu mmoja tu sasa.

Tatizo hata nikiwa kanisani kusali. Mawazo ya ngono ndio yanachukua muda wangu wote kiasi kwamba natoka kapa masuala ya kiroho.
 
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .

Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.
Yaani wanawake 160+ndo unaona wengi?mm 90's nlijaribu kuhesabu kwa wale nliokua nawakumbuka walifika zaidi ya 1000!!!lakini ilifikia wkt sikuomba ushaur kuacha ila umri na majukumu nlijikuta natundiga daruga mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesex na manesi kwa kuwalazimisha, unatongoza wagonjwa wanaokuja hospitali kutoa huduma, acha hiyo tabia haipendezi kutumia matatizo ya watu ili ujinufaishe
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .

Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wa namna hii,
Na mara nying wanakuwa wamechanjiwa..
Ila kwakuwa unajua hilo basi ww ndio unatakiwa kuzuia watu wengne wasifall kwako..

Jiepushe na hizo kadhia kwa kutoentertain victim wako.
Wakazie..

Alaf JF umesema umetembea na wadada wangap?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu, "kutoentertain" .. Nahisi hii sehem muhim pia ndugu, nitaifanyia kazi.
Maana kufurahisha furahisha ndio kunafanya kiasi kikubwa nifanye hii dhambi.

Humu jf nmelala nawengi ila wengi walikua niwale wa kusex kishikaji. Na mmoja tu ndio ambaye alinipenda sana nakwadhati mnoo .
Ila siku aliposhika simu yangu nakuingia PM maana jF huwa silog out ninaiacha tu . Ndio siku alipoumia tukaachana.
 
Mkuu ni kuamua tu!
Ndio nmekuja kwenu mnipe hatua. Kuna rafiki yangu aliniambia niwe nafunga mwezi mzima bila kula mchana. Nilifanya ivo kwa week ,kiukweli hiyo week sikusex kabisa ,sema nanjaa ikanishinda nguvu nikaanza kula tatizo likarudi.

Pia nahitaj wanawake wanichukie.,wasinijengee ukaribu
 
Back
Top Bottom