Ushauri wa kimapenzi

Ushauri wa kimapenzi

Nsam

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
212
Reaction score
290
Kuna siku huku nilikuja kuomba ushauri nifanye nn baada ya kublockiwa na mtu niliyekuwa naye kwenye mapenz! Wengi walinishaur usimtafte nam sikumtafta tena!
Sas juzi usiku baada y kupita wki moja
Niliona text imetumwa helow shem! Nikajib helo tu nan! Alinambia shemej yako fulan! Nikaamwambia ok vzr! Baada ya maongz ya muda mref alinambia kuna kitu unanificha kuhus mpenz wako ! Nikamwambia hapan hamna kitu mbona yupo poa! Lakn alifunguka na kunieleza aliyoambiwa na mpnz hyo! Nikambia ok aliniblcok muache hivovo! Akanmbia hapana mmetoka mbal samehanen! Nilijib mm sina shida naye! Baada! Baada ya siku tat mbel yule dem wang alinitext akaanza kujieleza kuwa mm ndo namakosa lakn alikuwa ananimx san hvo tuendelee na mapenz na hatorudia tena maan nilimkwaza ndo maana akaon suluhisho ni hlo! Ila pia yey anangangania nimpeleke nyumban nam sitak kwa sas! Pia pamoja na hayo analalamika nimemkula miaka minne hajua nyumban ndo maana anapaniki akiona mm mzinguaji! Kwa mara nyingine wanajf hyu mtu nimpokee au nifanyaje!@@@

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbe makosa yalkua yako,,mbona hukusema tangia mwanzo
 
Yaani miaka 4 unamkula tu bila hata kumtambulisha kwenu!
Acha tu wakusaidie kukugongea.

Miaka 4 unataka ugundue nini?
Au vyuma?
Kama uko njema muoe tu mzee baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah miaka minne baba weka ya chuo miwili ya mtaan miwili ukizingatia sana nimepata job juz jzu tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kaka huyo achana nae kuna kitu kakosa huko alikoenda ndo maana karudi kwako,sidhani swala la utambulisho ndo limfanye akublock piga chini tu ol kavipi mtumie kukizi haja zako ila kumbuka kuna magojwa.
 
Kuna siku huku nilikuja kuomba ushauri nifanye nn baada ya kublockiwa na mtu niliyekuwa naye kwenye mapenz! Wengi walinishaur usimtafte nam sikumtafta tena!
Sas juzi usiku baada y kupita wki moja
Niliona text imetumwa helow shem! Nikajib helo tu nan! Alinambia shemej yako fulan! Nikaamwambia ok vzr! Baada ya maongz ya muda mref alinambia kuna kitu unanificha kuhus mpenz wako ! Nikamwambia hapan hamna kitu mbona yupo poa! Lakn alifunguka na kunieleza aliyoambiwa na mpnz hyo! Nikambia ok aliniblcok muache hivovo! Akanmbia hapana mmetoka mbal samehanen! Nilijib mm sina shida naye! Baada! Baada ya siku tat mbel yule dem wang alinitext akaanza kujieleza kuwa mm ndo namakosa lakn alikuwa ananimx san hvo tuendelee na mapenz na hatorudia tena maan nilimkwaza ndo maana akaon suluhisho ni hlo! Ila pia yey anangangania nimpeleke nyumban nam sitak kwa sas! Pia pamoja na hayo analalamika nimemkula miaka minne hajua nyumban ndo maana anapaniki akiona mm mzinguaji! Kwa mara nyingine wanajf hyu mtu nimpokee au nifanyaje!@@@

Sent from my iPhone using JamiiForums
Beother kaka, kwa mara nyingine narudi kukushauri japo ushauri wangu unaweza usiwe very Ethically and appropriate kwako au kwake,

Nduguyangu, mtanzania mwenzangu, kijana mwenzangu, hebu tukaze roho tulijenge taifa kwa kufanya kazi ili kuwa na famili zetu zenye misingi mizuri ya baadae kiuchumi,

Sikuhizi naona watu tunakosa the true definition of the term love, mapenzi yanageuzwa kuwa area of interests/gains

Imagine, mtu anapanic from no where anakublock then anakupa minor reason eti kisa hujamtambulisha kwenu, na wakati hilo lilikua ni swala dogo sana la kukaa mka negotiate kipi mfanye, mpange n.k

Kwanza ukimpokea huyo mi naomba nikuhurumietu, huenda kapigwa chini then anaanza kuleta visababu visivyo na mashiko, kiufupi huyo ashaonesha weakness tayari ya kutokua na busara kwa vitu vidogo, alaf pia huyo msaliti yan kiufupi

Hivyo basi wewe kama mwanaume, utaona kipi cha kuanya iwapo utataka kumpokea kisa mmetoka mbali nisawatu maana mda mwingine mapenzi ni very unconditional na inakua ngum kushaurika, ila pia iwpo utaona nivyema kumkaushia ni sawatu uchaguzi ni wako eidha kusuka au kunyoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogopa mtu anayelazimisha kumtambulisha kwenu au yey anataka kukutambulisha kwao ww ndyo mwenye maamuzi ila yeye kama alikuwa anataka umtambulishe kwenu angekaa nawe muongee cyo kukublock iyoo inamaana alikuwa na mtu na alitaka kukuumiza kimaksudi.

Kuwa naye kwa makini c mwema tena kwako ikiwezekana tafuta utakayemuamini tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beother kaka, kwa mara nyingine narudi kukushauri japo ushauri wangu unaweza usiwe very Ethically and appropriate kwako au kwake,

Nduguyangu, mtanzania mwenzangu, kijana mwenzangu, hebu tukaze roho tulijenge taifa kwa kufanya kazi ili kuwa na famili zetu zenye misingi mizuri ya baadae kiuchumi,

Sikuhizi naona watu tunakosa the true definition of the term love, mapenzi yanageuzwa kuwa area of interests/gains

Imagine, mtu anapanic from no where anakublock then anakupa minor reason eti kisa hujamtambulisha kwenu, na wakati hilo lilikua ni swala dogo sana la kukaa mka negotiate kipi mfanye, mpange n.k

Kwanza ukimpokea huyo mi naomba nikuhurumietu, huenda kapigwa chini then anaanza kuleta visababu visivyo na mashiko, kiufupi huyo ashaonesha weakness tayari ya kutokua na busara kwa vitu vidogo, alaf pia huyo msaliti yan kiufupi

Hivyo basi wewe kama mwanaume, utaona kipi cha kuanya iwapo utataka kumpokea kisa mmetoka mbali nisawatu maana mda mwingine mapenzi ni very unconditional na inakua ngum kushaurika, ila pia iwpo utaona nivyema kumkaushia ni sawatu uchaguzi ni wako eidha kusuka au kunyoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said brooo kwa mtazamo wangu kaona aliyekuwa naye aeleweki kaona arudie matapishi yake aliyoyatapika kuwa makin

Exactly,

Mi naamin mapenzi sio vita bali

Its just a sort of a diplomatic relation ship between two sexes, ambayo ina husisha negotiations -ve/+ve, and very emotional kabisa hivyo inahitaji umakini pia, ukichezewa akili ujue imekula kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka minne ni mingi sana kilichopo wewe ndiyo una maamuzi ya mwisho kama unampenda malizeni tofauti zenu mfunge Ndoa na siyo kupotezeana tu muda.
 
Back
Top Bottom