Utafiti: Kama uliyefunga nae Ndoa halafu baada ya miezi 17 na Siku 26 hamfanani Sura zenu jua hiyo ni Ndoa ya Kishetani na hamtadumu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Watafiti na Wataalam wa mambo ya Saikolojia wamesema ya kwamba kama Wapendanao wawili wamefunga Ndoa yao halafu ndani ya Miezi 17 na Siku 26 Sura zao hazifanani ( yaani ya mmoja inaelekea Kusini na ya mwingine Kaskazini ) jua ya kwamba hapo hakuna Ndoa, hawatadumu na Upendo haupo ( hawapendani ) kabisa.

Kazi ipo na Shikamooni Watafiti wote popote pale mlipo!

Nawasilisha.
 
Naomba doc ya huu utafiti, naweza jifunza kitu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafiti na Wataalam wa mambo ya Saikolojia wamesema ya kwamba kama Wapendanao wawili wamefunga Ndoa yao halafu ndani ya Miezi 17 na Siku 26 Sura zao hazifanani ( yaani ya mmoja inaelekea Kusini na ya mwingine Kaskazini ) jua ya kwamba hapo hakuna Ndoa, hawatadumu na Upendo haupo ( hawapendani ) kabisa.

Kazi ipo na Shikamooni Watafiti wote popote pale mlipo!

Nawasilisha.
Kuna tafiti na tafiti za kipuuzi.

Hii ni tafiti ya aina ya pili hapo.
 
Baada ya kuona miaka mingi ya ndoa imepita bila ya kufanana na mkewe, FARU JEURI kaamua amtimue kitandani mkewe na kuanza kulala na makaratasi, yeye anayaita mafaili, mafaili gani yameandikwa makorokocho bhanaaaaa, Weee sema dishi limeashayumba usaidiwe kazi

Una uhakika aina ya Bange / Bangi uliyoiagiza ndiyo hiyo uliyoivuta hadi imesababisha uandike ' Utumbo ' kiasi hiki isivyo kawaida yako Mkuu?
 
Mshikaji usitake kujipatia millage kupitia taasisi Yangu ya Bujibuji, Mimi sio aina yako, wewe ni mvuta bangi ndio maana unadhani Kila MTU ni teja mwenzako. Naomba ujiheshimu, watukane haohao ambao umezoea kuwatukana

Naona bado Bange / Bangi zipo Kichwani mwako. Hivi Mimi naweza kutaka Umaarufu kupitia kwa CERTIFIED FOOL kama Wewe?
 
Inawezekana
tapatalk_1547137388438.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom