MDADA KWA AJILI YA SERIOUS RELATIONSHIP (NDOA)

MDADA KWA AJILI YA SERIOUS RELATIONSHIP (NDOA)

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,392
Reaction score
5,636
Mi nafikiri haya maswala ya mahusiano na mapenz hayana mbwembwe, hakuna the best proven way ya kupata mtu sahihi.. it just happens kwa njia yoyote coz Mungu ana njia nyingi ya kuleta watu maishani mwako, maybe this will be the right way kwa sababu bado naamini katika humanity, bado kuna watu wema hata kama sio 100%.

VIGEZO:

UMRI = 18 - 25

ELIMU = haijalishi

KAZI = haijalishi

KABILA = haijalishi

MWONEKANO = shepu sio ishu, ila mzuri wa sura.

MWENENDO = asiwe mtu wa anasa na mvivu coz mimi sio mtu wa anasa na sio mvivu.

DINI = mkristo

Mdada, Kama uko tayari kwa ajili ya mapenzi ya uwazi, upendo wa-dhati na wa-malengo, kujenga familia na maisha pamoja, karibu tuweze kufamiana zaidi labda tunaweza endana.
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije ukasema hivyo, siku ukiolewa epuka kumuudhi mumeo, na vilevile usiwe na majibu ya hovyo. Hapo utaepuka makofi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume flani alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume wa kikuriya alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa sababu siyo hiyo, kwa uzoefu wangu wanawake waliowengi wanafurahia kukalipiwa na waume zao sasa wanaume wengine hawapendi kuongea sana, au kujibishana na wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume wa kikuriya alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?

Sent using Jamii Forums mobile app

The fact ni kwamba, kama mwanaume ana mkono wa kukupiga au uwezo kukupa wakati mgumu, haijalishi atakuwa ni wa kabila gani..

mfano:

1.SOUTH AFRICA: mamphista aliyempiga baby wodumo ni mkuryaaa??!

2.USA: Jonny depp aliyempiga amber heard ni mkurya??!

3.UK/USA: stephen belafonte aliyempiga mel b ni mkurya??!

ETC....

Tukianza kuchambua wenzi kutokana na makabila yao hakuna atakaye baki salama...ndiyo naelewa kuna negativities mbali mbali ambazo zimeacha marks katika makabila yetu, lakini haimanishi sio kila mtu anabeba hizo negativities zote.

Muda mwingine unakuta tu kabinti kameona hauna pesa za kutosha, hauna uwezo anao utaka yeye au kigezo kingine anachotaka yeye...anaamua kuja na kisingizio cha kabila.

"IT IS BETTER TO RISK SAVING A GUILTY MAN THAN CONDEMN AN INNOCENT ONE."

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume wa kikuriya alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hebu nioneshe huyo mumewe nimtumie kijana wangu amrekebishe tabia. Sasa hilo kosa gani la kupiga mke dah!!!
 
Back
Top Bottom