Hardrock2019
Member
- Feb 26, 2019
- 10
- 14
.
Mkuu sio tangazo,jana nimepiga show kuanzia sa sita hadi sa kumi na moja mtoto katoka hoi anauliza nimekula nini wakati sijala chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza nione kama huo ni ugonjwa maana kila demu nnaepita nae analalamika natumia dawa lakn me sijawah tumia dawaKwa iyo unatafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume
🤣🤣🤣🤣😂😂heshima yako mkuu!Lipia tangazo lako
Unachoshangaa ni kipi hapo Mkuu,mbona ni kawaida sana hiyo kwetu huku umasaini!
Mkuu endelea kuchapa kazi!Nlidhani naumwa mkuu kama ni kawaida ngoja niendeleze dozi maana nilitoa dozi ya masaa manne nagegeda tu naona mtoto kaomba mechi irudiwe tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha puliWadau,mnishauri yani sijawahi kutumia dawa yoyote ya kuongeza nguvu za kiume lakini nikiwa na demu nikipiga show cha kwanza natumia dakika 50 ,nikianza raundi ya pili naweza piga lisaa lizima tatizo itakuwa nini,maana mademu hadi huwa wananiambia nimekula dawa lakini sijawahi tumia dawa yoyote.Na mda mwingine naweza kupiga game masaa matatu mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,mnishauri yani sijawahi kutumia dawa yoyote ya kuongeza nguvu za kiume lakini nikiwa na demu nikipiga show cha kwanza natumia dakika 50 ,nikianza raundi ya pili naweza piga lisaa lizima tatizo itakuwa nini,maana mademu hadi huwa wananiambia nimekula dawa lakini sijawahi tumia dawa yoyote.Na mda mwingine naweza kupiga game masaa matatu mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kawaida hadi zaidi,sema husababoshwa na factors nyingi kama vile
1.Kupiga nyeto kwa muda mrefu
2.kutahiri ukubwani
3.kutokuwa na mzuka na binti
4.mawazo wakati wa gemu
5.njaa
6.kulazimishwa gemu bila kuwa na hamu nalo
7.usafi wa mwili wa mwenza wako
8.less participation
9.kuonesha ubabe/kukomoa mwenzio
But wenzako wengi ndio hulilia kuwa hivo.