Kweli hii ni bongo.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,045
10,476
Juzikati nilikuwa naumwa nikaenda hospital baada ya vipimo nikagundulika naumwa vitu kama vitatu malaria, typhoid na STD disease nikapewa dozi nilivyorudi geto baadhi ya watu walinipa pole na kutaka kujua nasumbuliwa nini.? Niliwaambia kama nilivyoambiwa hospital kasoro ugonjwa mmoja STD disease ambao niliufanya uwe siri yangu.. Sasa Leo nilikuwa nimetupa makasha ya dawa nje kwa bahati mbaya kuna bwege kaona.. time hii mtaa mzima wanajua kwamba nilikuwa naugua ugonjwa wa zinaa.
SHIT HAPPENS.
 
Mbona kawaida tu au wewe ndio Mara ya kwanza kuumwa.
Mimi nikihisi dalili tu huwa namwambia Dada Yangu Wa kuzaliwa kuwa tayari nimeshaharibu fasta anakuja na sindano za kutosha

Wa sukumaland
 
Kwani ww ukiona hayo makasha ya dawa mtu katupa hutojua kama gonjwa la zinaa wakat naww umeshawahi kutumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom