Msaada wakuu

Msaada wakuu

Kwa yeyote atakayekuwa na uwezo wa kunisaidia kiasi cha sh 10,000/- naombeni msaada.

Mke wangu na mtoto ilibidi niwapeleke nyumbani baada ya maisha kunibana, sasa nimepigiwa simu toka asubuhi mtoto anaumwa, hospital wameenda ila dawa wameshindwa kupata kwa sababu hela haitoshi.

Kwa yeyote anayeweza kuniwezesha nipate kuwatumia, mimi nimekwama kabisa. Maana nimehamisha biashara baada ya kubomelewa lakini sasa bado siuzi kabisa.

Dawa walizoandikiwa ni za dukani.
Seat ya mbele kabsaa ngoja dereva aje tuondoke
 
Kwann usiombe watu wanaokuzunguka hapo,majirani marafiki,,. Fanya hivo watakupatia
 
Kwenye hi post apa ndo ulipokosea
Screenshot_20190314-222931.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom