Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WANAWAKE ni lazima muelewe kwamba ni vigumu sana kuelewa saikologia ya mwanaume katika tendo la ndoa. Anaweza akajitolea kukusaidia lakini kumbe mwisho wa siku anataka penzi lako.. Anaweza...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Heshima kwenu JF memba. Nielekee kwenye maada tajwa hapo juu, Miezi kadhaa nilileta uzi usemao Je, ndoa hii nani mkosaji? kwenu kuomba ushauri juu ya ndoa yangu. Mlinishauri ushauri wa kila...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Baadhi ya wanawake hudhani njia pekee ya kumwonesha upendo mpenzi ni kufanya nae mapenzi tu. Ndio maana wapo baadhi ya wanawake akikupa tu penzi basi ni kama vile amejihakikishia ujira na atakudai...
1 Reactions
3 Replies
903 Views
🍂KWANZA UNATAKIWA KUJITAMBUA🍂 Hapo ndugu utaweza kuiendesha familia yako kama mwanamke wa ndoa ...nenda na wakati muda wa kupika pika chakula kiive ...tena kilike sio wewe muda wa kupika wewe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huenda wasichana/wanawake wengi hawafahamu namna bora ya kuwapenda wapenzi wao. Wengi wanafikiri namna bora ya kuwafurahisha wapenzi wao ni kukutana nao kimwili ( intimacy). Ndio maana hakuna kitu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza, misa ya jumatano ya majivu, Paroko katika matangazo yake akasema anatoa fursa ya kubatiza vichaa, mazezeta na mataira, tena akiongea kwa sauti isiyo na staha. Binafsi...
6 Reactions
69 Replies
8K Views
Ewe mwanamke, kama mumeo anaingia hadi ndani ya nyumba huku akiwa amebeba mzigo wowote, iwe bahasha, mfuko nk, wakati umemuona na umeshindwa kumpokea, anza kujitasmini upya. Ew mwanamke, kama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NTAMPATA MWINGINE Baharin kuna samak weng na kila siku wanavuliwa ila bado hawaishi Ktk mapenz kuna watu weng wa jinsia yako...hivyo kuachana nawe haiwez kuwa mwisho wangu wa kupenda au...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Kama ambavyo mtoto mdogo huanza kujifunza kutembea kwakutambaa anza kujifunza kujitegemea kwa kufanya vitu vidogo lakini vya muhimu katika familia. Inawezekana umeolewa, hujaolewa bado unaishi...
1 Reactions
0 Replies
865 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upo na mpenzi wako zaid ya mwaka wengne utaskia 3yrs mnadate, hivi hamchokani tu?? Me sijawai date na demu kwa zaid ya miez6 kwa sababu atanikinai ntatafuta mwingine. Mliopo kwenye mahusiano zaid...
8 Reactions
96 Replies
7K Views
1. Wanasikiliza mioyo na kuacha kusikiliza akili zao. Unaona mabaya yote, ila unachagua kuoverlook because 'unampenda' 2. Hauhakiki kama maneno yake yanafuatana na matendo yake. Kama anasema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni heri Kuoa/Kuolewa na mwanamke/mwanaume aliyatoka familia ya kimaskini na mwenye fikira ,mawazo na moyo wa kitajiri kuliko kuoa/kuolewa na mwanamke/mwanaume aliyetoka familia ya kitajiri...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Maisha ni safari ndefu,na katikati ya safari mwanadamu anafanya makosa mengi sana kupitia mawazo yake,meneno ya kinywa chake na hata matendo mabaya tunayowatendea wengine. Ili maisha yawe na maana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, sijajua shida iko wapi na wanakosa nini na kwanini hawaridhiki na maisha na uwezo walionayo yeye na mwenzie[mume wake]
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Tangu umeanza kumuwaza huyo bwana ako asiye na huruma muuaji na mkondeshaji umepata faida gani.. Ona ulivyo kua waajabu yaani unajitengea muda tulivu kabisa wa kumfikiria jamaa Ambaye hajajari mda...
2 Reactions
0 Replies
769 Views
Sio kila mtu ana uwezo wa kukufata au kukupigia simu na kukuambia live kuwa hakutaki, muachane, wengi hawawezi kuwa kauzu hivyo na kuamua kutumia njia zingine ambazo kwa kiasi kikubwa zitakuumiza...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Naandika hapa kwa maumivu makali na hali sasa imekua tata si kama awali naombeni ufumbuzi Ni Leo mchana nimebahatika kununua dawa ya kuharisha kwa yelo subai (Maasai) ili niharishe na kusafisha...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wadau, katika pita pita zangu za matembezi, Kigali, Kampala na Mutukula. Nimekutana sana na hii jamii ya kihtusi na Wanyankole. Hizi jamii zinafanana.Yaani hii jamii kama ukizungumzia namba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom