UMUHIMU WA KUKUMBUKANA ASUBUHI NA JIONI

Wadau,
Hivi kma mpenzi wako yuko mbali kuna ulazima wa yeye kukumbuka asubuhi na jioni?
Na asipo kukumbuka inamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI UKIWA MBALI NA MWENYE NYUMBA KUNA ULAZIMA WA YEYE KUKUMBUKA KILA SIKU??
NA ASIPOKUKUMBUKA SIKU ZA MWISHO WA KODI INA MAANISHA NINI?? (NADHANI JIBU UTAKUWA UMELIPATA KAMA UNAENDA MBALI)
 
mi nipo mbali na mpenzi wangu saivi nnampenda kweli en nlivokuw nnaondoka nliumia sana kiasi kwamba nlikuwa natafuta any reason nibaki but it didn't work out, saiv ni wiki ya kwanza imeisha tunawasiliana vizuri kiasi kwamba sioni tena kama nnamis, yaani tunapeana sana kampani.. we don't give loneliness a chance
 
Hisia ndio zitakuwa zinawatuma muwasiliane muda gani na mara ngapi,tofauti na hapo nimaigizo tu.
 
Aisee routine ya salamu kiukweli siifagilii sana ni vema kupeana uhuru na kuaminiana tu!

Mnaweza jenga routine za kusalimiana asbuh mchana na jioni halafu soon ukawa stressed na maisha kiasi kuwa hizo routine unashindwa kuzifuata hapo mwenzio anahesabu ushapata mwngne au umemchoka huo ndo mwanzo wa kuvurugana sasa!
 
Mwanamke ana lindwa, ukishindwa ku mlinda kwa njia hata ya mawasiliano, jiandae kwa maumivu...
usihangaike kumlinda, mpe uhuru, km kwel anakupenda,anakujali, anamalengo atajilinda mwenyewe. Akishindwa maanake hakufai hata ukimuoa siku ukiwa mbali naye atafanya yake tu.
si maanishi usiwasiliane naye, namaanisha usimfuatilie wala usimchunge
 
Wadau,
Hivi kma mpenzi wako yuko mbali kuna ulazima wa yeye kukumbuka asubuhi na jioni?
Na asipo kukumbuka inamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ulazima, ila ni muhimu kwa wapenzi walio mbali, kujuliana hali (kukumbukana) na kupeana taarifa asubuhi na jioni. Mie kwa ufupi akiwa mbali, namkumbuka muda wote tu, :p. sio lazima anikumbuke yeye kwanza
 
usihangaike kumlinda, mpe uhuru, km kwel anakupenda,anakujali, anamalengo atajilinda mwenyewe. Akishindwa maanake hakufai hata ukimuoa siku ukiwa mbali naye atafanya yake tu.
si maanishi usiwasiliane naye, namaanisha usimfuatilie wala usimchunge

kweli kabisa mwanamke anahitaji uhuru, ila kuwe na mipaka ya uhuru wake, uhuru ukizidi unakua umefungulia mlango wa majaribu juu yake
 
Back
Top Bottom