technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,711
- 58,820
A
mmh, weye wiseSijui why mimi mtu akiongea kitu na kuweka neno 'eti' namuona mnafiki.....
ni kweli hujui cha kufanya au umeamua tu kusudi ?
Wanajamvi hii kitu imekuwa ikinisumbua sana Demu wangu anakuwa anataka eti tufanye mapenzi kinyume na maumbile je hii ni sawa naombeni ushauri wenu!!
Nimeshindwa nifanyeje uwa nakwepa lakini naona uwa anakosa raha ninapokataa!!
Demu wangu tena we unachekesha kweli!!Nipe namba yake
Mkuu muulize ameshagongwa 0713 mara ngapi kabla yako?.Demu wangu tena we unachekesha kweli!!
Hapana c kwa nia mbaya nataka nimuonye kwa kupitia vitabu vya diniDemu wangu tena we unachekesha kweli!!