BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Kama unafahamu fika kuwa mkeo huwa anakufanyia massage na nyumbani kwenu mna mafuta ya massage nakushauri uchungulie mahali ambapo huwa anayaweka.
Endapo hutayaona, muulize yapo wapi. Kuna mke wa mtu leo kaja na mafuta ya massage akijifanya anajua sana mahaba.
Afu alivyoondoka ndio akili ikaja kwamba pengine mbali na kunifanyia massage labda alitaka niyatumie kumla mtandao pendwa, nimejilaum sana aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app