Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
Habari za siku nyingi wana MMU, niende moja kwa moja kwenye ndoto mada yangu
Jana wakati nikitafakari ushindi wa taifa stars ni wahalali au magumashi nikapitiwa na usingizi mzitoo kweli kweli...ndipo nilipoota ndoto nzuri au mbaya kwangu na mwadada mrembo wa jf,. Ndoto hyo ulianza mwanzo kabisa nilivyokua naonyesha jitihada za kujuana na dada huyo hapa jf,tukakutana pm tukabadilishana manumberi kirafiki tu na tukapanga tutoke mtoko mmoja kwa ajili ya kunywa na kula kishkaji...hee mambo yakawa mambo mtoko ukazidiwa nguvu na hisia(pombe zilichangia) tukaupeleka mtoko mbali kabisa na kuwa tendo pendwa...kumbe dada wa jf alikua kwenye hatari akapata ujauzito ambao hatujautarajia kabisa(tuliuza mechi).
Hii ndoto inanitesa sana huwa nikiota ndoto zinakua kweli zote, wewe dada unaependa kula mdudu na Heineken najua tutaonana,tutakutana humu humu na tutafanya mapenzi,naomba siku hyo utumie njia zote zakuzuia mimba isiyo ya lazima,.
Kwenye ndoto wew ni mnene kidogo,una chura,tumekutana bucket, unapenda sana bia, kama utasoma hapa nakuomba jitahidi kumeza vidonge siku hyo kuepuka abortion isiyo na lazima baadae..
Kwenye ndoto hamna picha..msiombe picha
Sent using Jamii Forums mobile app