Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Wadau, tulikua tunabishana na mdau mmoja hapa kuhusu mikoa inayoongoza kwa matukio ya ubakaji kwa wanawake Tanzania, mmdau mmoja amesisitiza Kuwa unaoongoza ni Mara, mwingine anasema Mbeya.. je wadau mmnasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app