Wazazi na walezi wote...Soma hiki Kisa Kwa Makini

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
JINSI BABA YANGU MDOGO ALIVYONIGEUZA KUA SHOGA



Nakumbuka nilikua darasa la tatu wakati Baba yangu mdogo alipokuja kuishi na sisi, alikua anasoma kidato cha tano baada ya kufaulu huko kijijini. Kipindi hicho nilikua na miaka tisa na nilikua najitambua tu. Kwaku nyumba yetu haikua kubwa sana na mimi nilikua mtoto wakiume basi nililala naye chumba kimoja. Mwanzo mambo yalikua mazuri, lakini usiku moja nilinyanyuka kutoka usingizini, nilishangaa nimevuliwa chupi na huku nyuma nilikua kama vile nimejikojolea.


Nilishtuka sana, nilishangaa Baba mdogo naye alikua macho, hata kabla ya kumuuliza kilichokua kimetokea alianza kuniambia kuwa nilikua naota nikajikololea, lakini nilishangaa kwani mkonjo ulikua kwa nyuma na ulikua mzito kama ujiuji. Aliniambia kuwa atanifichia siri nisimuambie mtu na atanisaidia kufua nguo zangu, alinitisha na kuniambia kuwa mimi ni mtu mzima hivyo nikisema kuwa najikojolea nitachekwa.


Nilimkubalia na kumshukuru kwani niliona kama ananipenda.

Lakini baada ya kama siku tatu tena nilinyanyuka kutoka usingizini, nilikua nimevuliwa chupoi kama siku ile ya kwanza lakini sasa hivi Baba mdogo alikua kasimamisha uume wake na alikua akiniwekea matakoni. Nilinyanyuka na kupiga kelele, kwa umri wangu nilishajua kufanya mapenzi ni nini na nilijua kuwa Baba yangu mdogo anataka kufanya mapenzi na mimi. Alinivamia na kunishika kisha akanizim=ba mdogo akiniambia ninyamaze.


Aliniziba sana kiasi nikawa kama naishiwa pumzi, alipoona vile aliniachia kidogo na kuniambia kuwa alikua anataka kunifundisha namna ya kufanya mapenzi na wasichana lakini kama sitaki basi. Nilimuambia kuwa mimi ni mwanaume siwezi kufanya mapenzi nayeye, nakumuka aliniambia “Hujawa mwanaume bado, ili uwe mwanaume unatakiwa kujua kufanya mapenzi, kuna vitu unatakiwa kufundishwa, hivi wewe ukikutana na mwanamke utamfanya nini?”


Sikua na jibu, aliniuliza kama nataka kujua nikamuambia ndiyo, akaniambia basia atanifundisha lakini nisimuambie mtu,a kaniambia kuwa kila siku tutakuwa tuancheza kibaba na Mama na siku moja atakua Mama na mimi nitakua Baba hivyo hivyo tutabadilishana. Aliniambia atataka yeye kuwa Mama kwanza, akaniambia nimshike makalio yake na kuyachezea, kwakweli nilishindwa akaniambia nimruhusu anionyeshe namna ya kuyachezea.


Alianza kunichezea makalio yangu, aliyashikashika huku akiniingizia vidole, mimi sikusikia chochote lakini nilimuona yeye akilegee, uuime wake ulisimama na aliniambia kuwa niiname anionyeshe namna wanaume wanavyofanya mapenzi, niliinama akaniingizia uume wake sehemu yangu ya haja kubwa. Ulikua mkubwa kidogo hivyo niliumia, nilianza kupiga kele lakinia linikama akanishika mdomo na kwakua alishapandwa na midadi basi alichoche amara nyingi nyingi, alifanya mapenzi na mimi mpaka alipotosheka, alinikojolea mara mbili.


Mimi nilikua najitahidi kulia na kupoiga kelel lakinia linikaba barabara, aliniumiza sana mpaka kuanza kutoa damu. Baada ya kumaliza alichukua kaptula yangu na kunifuta kisha akachukua nguo na kwenda kuziloweka, alianza kunitisha akiniambia tumeshafanya mapenzi na kama nikimuambia mtu basi Baba yangua taniua, sikupata raha yoyote na asubuhi nilikua siwezi hata kutembea, ilikua ni siku ya juma nne nakumbuka, Baba na Mama walikua wakienda kazini, wao shuleni kwao walikua likizo hivyo niliposema naumwa siwezi kwenda shule niliambiwa nikae naye.


Kutrwa nzima alikua ni mtu wa kunitisha tu ili nisimuambie mtu, niliogopa kweli kwani nilijua kabisa tumefanya kitu kibaya, alikaa bada ya siku tatu alitaka tena, sasa hivi hakutumia nguvu kwani alikua akinitisha kuwa kama sitakubalia tamuambia Baba yangu anitafukuzwa nyumbani. Nilikubali na ukawa ndiyo mchezo wake kwangu, ilifika hatua mpaka nikazoea nikawa napenda kiasi kwamba nisipofanya nakuwa kama nimechanganyikiwa. Hata alipomaliza kidato cha sita aliendelea kubaki pale nyumbani, tuliendelea kulala chumba kimoja na alishanigeuza kama mke wake.


Nilimaliza darasa la saba yeye akiwa bado yuko chuo, hapo ndipo tulitengana kwani Baba alitaka nisome bweni, nilikataa kwakua nilijua nitamkosa Baba mdogo lakini Baba alilazimisha, niliondoka huku nalia Baba yangu akijua ni uoga wa kwenda kukaa peke yangu shuleni kumbe nilikua nikimlilia Baba mdogo. Nilienda shule, ilikua ni shule ya wavulana na wasichana, lakini mabweni yalikua tofauti tifauti.


Kutokana na uwezo wangu mkubwa darasani na muonekano wangu watoto wengi wakike walinipenda, hata mimi niliwapenda na nilikua nikitamani kufanya mapenzi na mwanamke, tayari nilishajua namna ya kufanya mapenzi, Baba mdogo alsihanionyesha mbonu zote hivyo nilijua kuwa kama nikikutana na mwanamke basi nitakua mtalaamu sana. Darasani kuna binti mmoja alikua ananitaka, lakini ilikua ngumu sana kwetu kukutana kimwili kwani tulikua tunachungwa sana.


Nilivumilia mpaka nilipofika kidato cha pili, hapo nilishakua mjanja na shule nilikua naijua, nakumbuka nilipokua likizo nilikutana tena na Baba mdogo, nikamuambia kuwa sitaki tena kufanya naye mapenzi nataka wanawake, alinikubalia na kuniambia haina shida, tunaweza kufanya na wakati huo huo tukafanya pia na wanawake, aliniambia hata yeye ana wanawake zake anafanya nao. Sijui kwanini lakini nakumbuka aliponiambia kuwa ana wanawake zake niliumia sana, nililia kabisa kwani nilihisi kama vile ananisaliti.


Niliporudi shuleni nilikua na hasira na hamu zaidi ya kufanya mapenzi, siku moja niliiba ufunguo wa stoo na kwenda na yule binti kufanya naya mepenzi, nilimvua nguo na kwakua nilishajua mambo ya kupigana mabusu, kunyonyana sehemu za siri nilijaribu lakini sikusikia chochote, uume ulikua ukisimama kwa shida na hata nilipojaribu kufanya naye mapenzi nilikua sijisikii raha kama ambavyo nilikua nafanya na Baba mdogo. Nilimuacha akaondoka, lakini niliondoka kwa aibu kwani nilihisi kama vile atanitangaza.


Kwakushindwa kumridhisha niliona kama atawaambia watu, nilianza kuona aibu, nikawa mpweke na mawazo mengi nikawa mtu wa kulia tu kila siku. Katika bweni letu kulikua na kiongozi mmoja alikua ni kiongozi wetu wa dini, aliniona an kuniuliza tatizo nilishindwa kumuambia. Yeye alikua mkubwa kidato cha nne hivyo alipoona nina matatizo alianza kuwa karibu na mimi, akwa ananisaidia masomo,a nanisikiliza na kweli nilianza kumzoea na nilijikuta nampedna, siku moja nilivizia akiwa bafuni kuoaga kwakua mara nyingi kwa mabafu yalivyo tunaoga pamoja basi niliingia na mimi kuvua nguo.


Alikua uchi anaoga na nilipomuona nilishindwa kuvumilia, nilimvamia na kuanza kumsihika kumbe nayeye alishahisi kuwa mimi ni shoga na ndiyo maana alikua karibu na mimi. Alianza kufanya mapenzi na mimi, alifanya hivyo karibu kila siku mpaka alipomaliza kiadato cha nne, mimi kipindi hicho naingia kidato cha tatu, kumbe katika kufanya na mimi kuna rafiki yake alimuambia, nilipogika kidato cha tatu alikuja kunitongoza, lakini mimi sikumpenda ndiyo alipoona nimemkataa alinitangaza kuwa mimi shoga.


Tayari nilishalegea legea na nilikua na mambo ya kike hivyo karibu kila mtu alijua, nilipata msongo wa mawazo, naona aibu kila siku, siku moja niliamua kunywa bidonge vya malaria ili kujiua, lakini kwa bahati niliwahiwa, nilipepekwa hospitali na kupona, wazazi wangu waliitwa na walipoulizwa chanzo wakaambiwa mimi ni shoga. Hakukua na ushahidi na mimi nilikataa ila baada ya Baba yangu kusikia hivyo ni kama alinisusa, alikataa kunilipia ada na niliporudi likizo ya mwezi wa sita alikataa hata nisirudi nyumbani, nilienda likizo kwa Bibi.


Baba mdogo alishamaliza chuo na alikua na kazi yake, nilitoroka kwa bibi nakumfuata ila nikaja kujua kuwa kumbe alikua anaishi na mwanamke, nilcihanganyikiwa, ingawa Mama alikua tayari kunilipia ada ya shule ili nirudi lakini nilijikuta sijithamini, sioni haja ya kurudi tena shule kwani nilikua naona aibu. Nilianza kuzunguka mabaa nabadilisha wanaume kwani nilikua nishaharibika siwezi tena kulala bila mwanaume, uume wangu ulikua haufanyi kazi tena hata nikikaa uchi na mwanamke na nilijihisi mwanamke kabisa.


Sikua nikivaa nguo za kike kwasbaabu ya aibu lakini ni kitu nilichokua nakitamani sana. Mwaka jana niliugua sana na nilipoenda kupimwa nilikutwa jimeambukizwa UKIMWI sikuumia hata kidogo kwani nilshakta tamaa ya maisha, niliamua kufanya makusudi mapenzi na watu ili kuwaambukiza, wengi ni waume za watu ila mwaka huu mwanzoni niliamua kuokoka na kuachana na hayo mambo. Nimenunua Kitabu chako cha Biashara na nina Biashara yangu nauza Maji ya jumla na najitahidi sana kuwa mwanaume ingawa ni ngumu.


Tangu kuokoka najitahidi sana kuacha kufanya mapenzi na wanaume lakini nashindwa, bado nina mabwana zangu wananisumbua ila nimeweza kwa miezi mitatu sasa. Uume wangu haufanyi kazi na nimeshakata tamaa ya maisha. Nimemaua kuandika kisa changu kwani nataka watu wanaotuhukumu wajue kuwa mimi naongea na mashoga wengi, ninwachache sana wanapenda wengi wameharibiwa kipindi wakiwa wadogo tena na watu wao wa karibu, watu wanaowaamini sana.


Kuna walioharibiwa na Baba waodgo kama mimi, wajomba, marafiki wa Baba zao, wachungaji, mashehe na wengine hata Baba zao wazazi. Kabla ya kunihukumu mimi naomba nikuulize wewe Baba, wewe Mama ni lini uliongea na mwanao, nilini ushamkagua mwanao mdogo, yule mjomba, Baba mdogo au jirani mabaye anamnunulia zawadi ushawhai kuchunguza chochote kile, ulishawahi kumuuliza mwanao kuhusu shuleni, kuhusu mwalimu wake wa darasa au kuhusu kiongozi wa dini kujua wanafanya nini? Tumia kisa changu kumlinda mwanao mimi nishaharibikiwa lakini yeye labda unaweza kumsaidia.

***MWISHO
 
pole sana endelea kujithibiti hakika utaweza,vp kuhusu huyo baba ako mdogo ulpoenda kwake alikataa kushare na wewe au ww ndo ulkataa 7b tayari ashakuwa na mwanamke?
 
Pole sana mzee baba. Cha muhimu ni kuendelea kukaza mzee baba. Usilegeze legeze ovyo mzee baba.
 
Daaaah!!! Hadi machozi yamenilengalenga, Mungu tulindie watoto wetu, na wazazi tuingie kwenye maisha ya watoto wetu. Yapo mengi mno yanayoendelea ktk maisha yao tusoyajua.
 
Pole SNA ndugu, umefanya jambo jema kuokoka endelea kumtegemea Mungu amin yote yanawezekana.
Mungu wetu anasamehe na kusahau jitenge na marafiki wabaya.
Hakuna asiloweza utakua sawa kama ukimtegemea yeye na Kumuamin Yesu Kristo kuwa bwana na Mwokozi
 
Pole sana kaka. hongera kwa uamuzi uliochukua penye nia pana njia saa hivi dunia imekuwa kama kijiji information zipo nyingi kuhusiana na mambo mbalimbali jaribu kutafuta information za waliopitia situation kama yako na wakafanikiwa kutoka huko ili kujua mbinu walizotumia kukabiliana na changamoto kama hiyo
 
Kua makin sana na watoto, asa waliopishana, wanaokaa wakubwa na wadogo na hasa wakubwa wanapokua katika kipindi cha balehe........


Wakiwa awajui kutongoza wanaeza ata baka kuku......

Nakumbuka wakati nkiwa nakua kuna jamaa yangu mmoja alitaka kumletea mambo ya ajabu dogo ila ukaribu wangu na dogo uliokoa, dogo aliniambia, dah nilipata hasira za ajabu nkamfata jamaa kwao akat namchana akazingua nilimtia vitasa wazaz wake wakaingilia mi nkamwaga mboga na ugali ikabidi mpaka vikao vya kifamialia..... Urafiki ukafa na kuzikwa apo apo.....

Tuwafanye watoto marafiki zetu na kuwadadis yale maisha et baba kaja watoto wanakimbia utashituka kumekucha
 
Daa kuna vitu vinaumiza, Mungu nipe ujasiri wa kuweza kuongea na mtoto wangu wa kiume,sijui nianzie wapi kumfundisha mapema, ili apate awareness na hii kitu.
 
Miaka sita mingi sana mzee

Nakumbuka enzi niko na miaka sita kulikuwa na mtindo mi na marafiki zang tunachukua vitoto vyenzetu videm tunatafta jumba bovu tunaenda kulala navyo
Ila ilikuwa ata aiingii
 
Pole sana brother I feel your pain mshike yesu hatokuacha imetupa fundisho kuu ubarikiwe be strong have courage move on usiangalie tena yaliyopita.Ni vyema wengine wenye similar case wagupe ushuhuda tuelimike.Pole sana GOD bless you my brother
 
Hii story ilishawahi kuletwa humu, mleta mada kama sio muhusika, utakua na genes za ushoga!!
 
natamani kila mwenye mtoto asome huu uzi ndo maana hata aje mgeni kwangu siwezi mruhusu alale na watoto
 
Back
Top Bottom