Mwanamke akikuzidi kipato lazima ndoa ivunjike

NYOTIENO JARIEKO

Senior Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
196
Reaction score
325
Nimefuatilia kwa ukaribu wanawake waliolewa wakiwa na kipato kidogo au hawana kabisa lakini wakabahatika kusaidiwa na waume zao either kwa kusomeshwa au kufufuguliwa biashara Mikubwa , baadae wakatalakiana hawa ni wachache tu ninawowafahamu na kabla walikuwa wananipa motisha ili nikioa niwe Kama walivyo coz niliwaona wanapendana .

Wakwanza ni mwalimu wangu mkuu wa O level ,huyu nikiwa form one 2009 alipokea madam mbichi kabisa ...fresh from University kipindi kile mzee kikwete alikuwa anamwaga ajira Kama njugu sio Kama awamu ya tano...(maendeleo Haina chama ) baadae mwalimu mgeni /madam akapangiwa kufundisha history f1 kusema ukweli mwanzo nilikuwa simwelewi anachofundisha sio kwamba hajui kufundisha... la asha anajua vizuri lkn jinsi alivyoumbika madam ana umbo namba nane ikabid Mimi nimfaidi umbo tu Kuona anavyotingisha akiandika ubaoni duuuuu kipindi hicho full utoto .kumbe mwl mkuu kapenda madam na kutokana na kulikuwa na walimu wengin vijanq ikabidi mkuu afanye faster ndani mwez sita ndoa tayari mkuu kavuta mtto walipendana Sana kila sehemu wapo pairs ,tatizo kimetokea mwaka Jana baadae ya mwl wg mkuu kutolewa ukuu wa shule coz ana diploma na madam kuwa mkuu wa shule kwa miezi mitatu na kupandishwa kutoka mkuu wa shule hadi afisa elimu taluma/msaidizi ....kumbuka madam ni mkali kiumbo na kisura alichofanya madam sijui kaomba kuamishwa /au kanishwa tu tuko nae jiji la makonda mume wake walitalakiana baada ya kushushwa cheo na yeye kupanda.

Wa pili ni ndg yg wa karibu yeye alikuwa kwenye ajira bahati mbaya vyeti feki kamtoa mke kabaki juzi wametalakian mke anamuita mzigo ...mke alianza kuingiza madume ndani ikabid njamaa ampige chini japokuw mke anafrah baada ya kupew talaka .

Kuna bext wg alikubalian na mke wake ..mke aende ongeze elimu bahati nzuri mke baada ya kumaliza Masters akapandishwa sio kwamba alikuwa na master pke yk hapan waliangalia v2 vigi pamojaja na yy kaanzia certificate hadi Masters ..jui jamaa kaenda mahakamni kuhusu talaka na ofisi ni moja cjui watafanyaje kazi.

Wapo wengi wengi Sana kwa kusamarise hawa wanawake wasikuzidi kipato ikitokea uwe na uvumulivu was Ali ya just ...Baba yg aliwai kuniambi "Mwanangu usioe mwanamke anaekuzidi kipato "alikuwa na maanake ,kwa niliyo yaona na binavyozidi kuyaona sitaoa mwanamke anaenizidizidi kipato nitapigana Hadi nimpite tunayoyaona ni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajaluo mna shida sana kwa mambo zanu za mfumo dume...[emoji53] [emoji53]
tapatalk_1547552950903.jpeg
 
Mfano mwingine ni mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa (jina hili kakatazwa kulitumia). Sasa hv anajiita madam Bonnah.

Alikuwa akiishi vizuri sana na mumewe kabla hajawa mbunge (alipokuwa mwalimu wa sekondari). Alipopata ubunge, ndani ya miaka 2 tu akafumaniwa mara 3 kule Dodoma. Hivi tunavyoongea Bonnah ameachika anadanga na jina la Kaluwa (ex hubby wake) amekatazwa kulitumia
 
Aisee. Ndio walivyo hawa watu. Huwa hawachelewi.
Kama huyo bona. Angetulia kamamama samia yasingemkuta hayo

Mimi nae ni nan,
nataka kujionea,
hebu huyo tajir wa kike aje mapema mm nifunge nae ndoa,

Yani atakuja kushtuka hana kitu, moyo wake na mali vyote nimeviteka.

Sent using Jamii Forums mobile app
We naye boya kweli, mbona hujazuiliwa kuoa ila umeoewa tahadhari. Alfu we naona unahamu ya kuwa nao hawa wanawake wanaoendesha mindinga ila hujajiuliza huo utajiri wameupata wapi.? Jichanganye uingiziwe wanaume hadi chumbani alfu udanganywe ni daktari kaja kunifanyia uchunguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli, mie kama nilimkuta anaeleimu daraja la cheti. Atabaki na cheti chake hivyo higyo...sifanyi ujinga wa kusomesha. Hawa viumbe wanaakili ndogo sana kama kuku. Kuku ukimwekea mchele tu kwenge ngo atatamaninapatue parue..ndio akili yao hawa neugu zetu. Mie kama nilimkuta na diploma yake hivyo hivyo sipeleki mtu chuo na nitafanya niwezalo asiende level nyingine. Maana najua akinizidi sijui awe na masters qlfu mie nina degree pekee yake..sitaki mdandamizo wa Akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shuhuda zote mbili ninazo, tena ni nyingi coz kazi ya kusuluhisha ndoa nimeifanya sana tena sana. Mbaya zaidi naweza kukaa na mwanamke dakika tano tuu akafunguka yote ya moyoni!! Wanawake wanabeba mengi mazito na wapo wapo tu, ila siku akiotea pa kukuchapa anakuchapa haswa bila huruma. Yaan hii ni from the horse's mouth!

Nilichogundua kwa nini ndoa zinavunjika mwanamke akipata kipato wengi ni VISASI kutokana na jinsi tunavyoishi nao!

Kipato chako hajui, anakufumania kila leo, pombe na wewe familia huna muda nayo, akiwa na shida unamsimanga kwanza then unampa suluhisho, manyanyaso mengi mengi yanayochangiwa na mfumo dume.

Hapo hata kama ni wewe ukija kupata kipato lazima ulipe kisasi na kusepa zako!! Maana hayakuwa mapenzi!!

Pili: Wapo wenye wake wenye vipato vikubwa na ndoa ni za amani sana. Kwa sababu aliweka misingi imara ya mapenzi yao. Unachokipata onyesha consideration hata kama usimuonheshe kipato chote kwa mkeo, kaa nae muweke mipango mwambie hiki ndo ninacho, mpende kwa kumuonyesha, toka kazini kaa nae jua haja zake na familia, nenda kwenye pombe utamuona ana amani kabisa, mtimizie mahitaji kama mume bila manyanyaso au masimango, penda familia kwanza, onyesha juhudi za kujali kufanikiwa kwake!! Akivunja ndoa huyo alikuwa chizi na si mke!!

Wanawake wengi niliowahi kuongea nao kwa nini wanakimbia waume zao majibu yao yalikuwa ni hayo hapo! Ukisikia mwanamke anakwambia nakaa tu sababu ya watoto au sababu sina kazi ogopa sana mtu huyo. Na ndoa zetu nyingi zimefikia hapo na wanaume hatujali tunakuja kupigia kelele matokeo ya mwanamke kujikoboa!!
 
Aisee. Ndio walivyo hawa watu. Huwa hawachelewi.
Kama huyo bona. Angetulia kamamama samia yasingemkuta hayo

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes! Mama Samia hajafika hapo kwa ngekewa, ni kazi ya mume hiyo kumjenga mpaka hapo! Hawa watu wanahitaji saikolojia tuu!

Mbona Waziri Mkuu wa Uganda aliweka ndani mumewe?? 🤣🤣🤣

Mke bora anatokana na mume bora!! Mengine porojo za vijiweni!!
 
You have a point.
Yes! Mama Samia hajafika hapo kwa ngekewa, ni kazi ya mume hiyo kumjenga mpaka hapo! Hawa watu wanahitaji saikolojia tuu!

Mbona Waziri Mkuu wa Uganda aliweka ndani mumewe?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mke bora anatokana na mume bora!! Mengine porojo za vijiweni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm n mwanaume upo sahihi lakin hata sisi wanaume tukipata pesa au status zaidi tunaanza dharau na kuchepuka tena si chini ya mchepuko mmoja tofauti yetu na wanawake ni kwamba wao wana force tuachane ili wabaki huru zaidi (hata kama hana mwanaume) sisi hatuforce kuachana sababu uhuru tunakua nao ila hatutaki kuachana sababu wake zetu wanakua wavumilivu na tuna malengo nao kuliko michepuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mwingine ni mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa (jina hili kakatazwa kulitumia). Sasa hv anajiita madam Bonnah.

Alikuwa akiishi vizuri sana na mumewe kabla hajawa mbunge (alipokuwa mwalimu wa sekondari). Alipopata ubunge, ndani ya miaka 2 tu akafumaniwa mara 3 kule Dodoma. Hivi tunavyoongea Bonnah ameachika anadanga na jina la Kaluwa (ex hubby wake) amekatazwa kulitumia
Duh!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom