MADHARA YA KUTOKUFANYA TENDO LA NDOA MDA MREFU

MADHARA YA KUTOKUFANYA TENDO LA NDOA MDA MREFU

Joined
Dec 18, 2017
Posts
44
Reaction score
34
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:

Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

MWAMBIE BAE WAKO
ASIKUBANIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unawaambia nini ambao wamesafiri miezi zaidi ya mitatu na wenzi wao hawaoneshi dalili hizo?
 
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:

Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

MWAMBIE BAE WAKO
ASIKUBANIE

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeokoka sitaki mambo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kama nyeto
Mimi nisipo ngengeda ndani ya wiki moja tu nagonga mkono kiulaiiiini tena naipimia papuchi size nayoitaka[emoji1321]‍♂️
 
kama utafiti wako ni wa kweli basi Mapadri na masister wote wana Majini mahaba
 
Back
Top Bottom