GREATINGS!!!!!

Karibu sana,

Huku hakuna kukasirika,

Utajibiwa vibaya au vizuri kaza mkanda wala usichukie

Kuna watu wa akila aina,

Ila kila moja humu atakwambia :

Ni msomi

Ana ela

Ana gari

Vumulia tu ndo maisha ya humu wengi wana maisha fake na ndo wengi sana humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu ila usije jaribu tongoza mwanamke humu,ukifikia nia ya kutaka mwanamke humu hakikisha una uhakika wa kupata milo mitatu bila kuvuja jasho,karibu sana mwananzengo
 
Back
Top Bottom