Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,135
- 6,920
kama wiki mbili zilizopita nilitoa uzi kuhusu mwanamke mmoja niliemtaka kimapenzi japo alikuwa ni mteja wangu wa miamala ya kifedha ila habari njema ni kuwa amenielewa na piah ameweza kunishawishi kuhamia ktk nyumba ya umeme, japo sikuwa na mpango huo kwa siku za hivi karibuni..
Ila sasa kimbembe kimeanza ambapo weekend hii(jana) tulitoka na kwa bahati nzuuri kabisa sisimizi nilifanikiwa kumuangusha tembo!!
ila sasa kilichonifanya niandike huu uzi ni kuhusu hii tabia ya wadada kutaka kuzimwa taa wakati wa sex, yaani unakuta mdada mtu mzima na hata wengine ni single mother lakini akifika maghetto wanajifanya eti hawataki kufanya pasipo taa kuzimwa.
Swali langu kwenu wadada ni hili; hivi huwa mnafikiria nini kutukubalia kuwa nasi kimapenzi ilihari hamtaki tuione miili yenu? Ama mnapingana na yule mhenga aliesema mficha uchi hazai??
pia na kwa wanaume wenzagu naombeni msaada wa kimawazo, hivi huwa mnatumia mbinu gani mbadala endapo ukikutana na hali kama hii...??
Sent using Jamii Forums mobile app