Huyu ni binti wa kinigeria, amekamatwa na police wa huko uingereza baada ya kumgeuza mzungu raia wa nchi hiyo kama mdoli wake(pet)
Kama kuna hili juju basi wazungu watalipiga vita kwa namna...
Kama wiki tatu zilizopita niliandika Uzi ululioelezea namna nilivyopata mchumba wangu kwenye kanisa moja la kisabato na jinsi mchungaji alivyotuandikia barua ili tukampe daktari ili tupime UKIMWI...
Habari wana JF
Nimekua nikitafakari namna ambavyo baadhi ya mambo yamekua yakifanywa na wanandoa au marafiki zao licha ya kuwa mambo hayo ni
kinyume na matakwa au ustaarabu wa ndoa.Baada ya...
hivi kwanini mnakuaga na kisirani katka mambo yasiyo na maana?
hivi ukiniambia unanipenda na nipo mazingira tata nikashindwa kujibu nakupenda pia kwann unune siku nzima? kwani hamjuagi kama...
Nina House Girl nimekaa nae mwaka wa 10 sasa...nimemchukua akiwa na Miaka 18 sasa ana Miaka 28
Ananiambia kuwa alienda Mlimani city mwezi January wakati nipo Msibani Moshi akatongozwa na Kaka...
Ukipita katika mitandao mbalimbali ya kijamii mijadala ya MAPENZI inaoneka kuwa na mashabiki wengi Sana ukilinganisha na maada nyingine.
Humu mitandaoni na katika apps store mbalimbali kumekuwa na...
Mtafute shetani na uangalie sifa zake.
Kisha jitahidi kuziiga kwa bidii sana!
Umeshaona shetani akichorwa picha huwaje?Jibadili uwe na taswira yake.Utapendwa na kila mwanamke
Unajua zile sifa...
Mimi
Kwakuwa nimekulia kijijini sitosahau siku moja
Niliingia na demu wangu kichaka kimoja hivi mbaaali na Kijiji. Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa mbili hivi. Ulikuwa usiku ambao mbalamwezi...
wadau kuna demu mmoja hapa kitaa yaani ni bakora mtoto mzuri kinyama yaani,basi mdau nikamzimikia nika anza kumlia misele japokuwa mdingi wake ni mkali lakini nikakomaa,nikafanikiwa kumwaga sera...
Habari wana JF
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Ninaishi na HIV.
Ni mfupi wa wastani, sio mweupe wala mweusi. Ni mkiristo, ndo nimemaliza diploma ya records management.
Natafuta mwenza...
Mimi ni binti wa miaka 26,ninaishi na VVU natafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mimi ni mrefu,mweupe kiasi na Nina bachelor.
Sent using Jamii Forums...
... Wanandoa wengi wameingia katika ndoa aidha kwakuwa jamii imewaaminisha kuwa mwisho wa mahusiano ni ndoa, wamedumu katika mahusiano kwa muda mrefu na wanafikiri inabidi waoane, marfiki zao wote...
Ass = No boobs
Boobs = No Ass
Ass+Boobs = Ugly Face
Beautiful Face = No Boobs, No Ass
Beautiful Face + Boobs + Ass = No Brain
HENCE PROVED
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa mara nyingine nakuja mbele zenu wadada nikiwa na ombi lile lile: Natafuta mwezi wa maisha. Sifa zake
- Awe mrembo / mzuri sana. Hapo sina-compromise aisee. Kama sio mzuri pita mbali.
- Rangi...
LEO tutaangalia mambo ambayo wewe unaweza kuyaona ni madogo madogo lakini hakika yanaweza kuivunja ndoa yako kama siyo kuiweka matatani.
KUWA BIZE SANA
Wanandoa wengi hawana muda wa kupumzika...
Japo kazeeka lakini kila nimwonapo nakumbuka alivyotikisa enzi hizo pale kijijini mpaka kupelekea mimi kupata mkasa huu nyumba yao ilikuwa inapakana na shamba la migomba hivyo...
Nahitaji msichana ambaye tutaingia ktk mahusiano ya mume na mke.
Sifa za anayehitajika
-mkristo
-umri asizidi miaka 25
-awe hajawahi kuzaa
-awe mzuri, (mbaya wa sura na shepu atanikinai mapema)...
Habari wakuu
Natumani mnaendelea vema,tumevalishana pete za uchumba na mpenzi jambo la kushangaza mahali pete ilipo kidoreni kuna maumivu makali napoivua hali ni shwari shida inakuja napoivaa...