Hapo mwisho umefeliMwanaume lazima ajitume halafu asiwe mwizi. Pia mwanaume lazime awe na watoto wengi. Mwanaume asiogope mende au mjusi. MWANAUME AOE SINGLE MOTHER.
Ha ha ha nataka niwe na wake wawili sasa huyu wa pili nataka awe single mother tena mmama ulionizidi umri.Hapo mwisho umefeli
Kama mke wa pili single mother haiko mukinga! Nilijua unataka unaze familia na handicap ya +1Ha ha ha nataka niwe na wake wawili sasa huyu wa pili nataka awe single mother tena mmama ulionizidi umri.
uwe na roho ngumu kama Mjölnir ya ThorMWANAUME AOE SINGLE MOTHER
Aaah! hiyo ya kuanza game 1 bila nilishaipinga kwa vitendo mkuu.Kama mke wa pili single mother haiko mukinga! Nilijua unataka unaze familia na handicap ya +1
Mungu anakuona mkuuMwanaume lazima ajitume halafu asiwe mwizi. Pia mwanaume lazime awe na watoto wengi. Mwanaume asiogope mende au mjusi. MWANAUME AOE SINGLE MOTHER.
Nimecheka mbele ya halaiki mkuu.Naonaga vile vipost vinasemaga "Mwanaume akiona Nyoka hakimbii anamchukua na kumtumbukiza kwenye boxer apambane na Nyoka mwenzie"
😁😁
Na apokee maombi yangu,tena kama yule single mother pale kati,mmama ana chura wa asili,rangi yake inatosha usiku taa ya nini,ana mpunga wa kutosha namvizia nimuoe nisimamie biashara zake,halafu eti anasisitiza ukipendwa pendekaa!!
HaahaaahaaNaonaga vile vipost vinasemaga "Mwanaume akiona Nyoka hakimbii anamchukua na kumtumbukiza kwenye boxer apambane na Nyoka mwenzie"