Uchawi huu wazungu wataupiga vita

Uchawi huu wazungu wataupiga vita

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,527
Reaction score
870,086
Huyu ni binti wa kinigeria, amekamatwa na police wa huko uingereza baada ya kumgeuza mzungu raia wa nchi hiyo kama mdoli wake(pet)
Kama kuna hili juju basi wazungu watalipiga vita kwa namna zote... Ngoja nikalifanyie utafiti... Nitarejea... Na kama nimefanikiwa nitafungua ofisi Dar yenye matawi Arusha [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
IMG-20190323-WA0084.jpeg


Jr[emoji769]
 
Wala sio uchawi bali ni kama whipping slave sex iliyowekwa hadharani tu
Hii kuna mbunge mmoja alirekodiwa pia kapandwa kama punda na malaya mmoja hapa Uingereza
Huyu atakuwa ni mmoja wao tu na kaamua kuja hadharani kwa matakwa ya pleasure zao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji87][emoji87][emoji116][emoji848][emoji848][emoji144][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Jr[emoji769]
 
Watu weupa hupata tabu sana kwa wanawake wausi / Wakiafrika. Wengi hupagawa kupitiliza.
 
Back
Top Bottom