Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake...
7 Reactions
72 Replies
25K Views
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni...
17 Reactions
80 Replies
9K Views
Wanawake ni viumbe dhaifu sana sisi wanaume tukipata pesa mipango zetu ni kubolesha familia ila wanawake wakipata pesa hatakama ni kiasigani cha pesa hawajali hatua ya kwanza ni kununua nguo za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
I am looking for a person who will give me company and i want a man who is good in heart,understanding,who will love me and respecting me . I want someone who is charming lokes jokes and love to...
1 Reactions
115 Replies
10K Views
Baada ya maadhimio ya kikao cha kwanza kwenda vizuri wanaume wenzangu leo nimekuja kuwakumbusha maadhimio ya kikao cha pili tulichokaa wiki iliyopita, Kama kawaida ya kikao chetu tulijadili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katikati ya mwaka jana nilibahatika kumpata binti mmoja, mwanzo wa kujuana nae ni pale alipokuwa akipita asubuhi na mapema akienda shule, alinifanya kila siku saa12 kuwa macho ili kumsubiri...
7 Reactions
341 Replies
22K Views
sisi kama binadamu huwa tuna mambo mengi ambayo huwa tunapenda kuwaficha wapenzi wetu na huwa hatupendi waweze kufahamu kuhusu sisi kwa mfano ??? kwa mfano kuna wengine huwa hatupendi wapenzi...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
"Wanawake walio SMART na INTELLIGENT hawaombi ombi hela ovyo kwa wanaume/Boyfriens zao. Wao hutalia, hufanya mambo yao na husubiri kuona wewe kama mwanaume walau utakua na akili ya kujiongeza."
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Sijui ni mkosi au ndio vile nguvu zimeshaanza kuisha, utakuta niko na demu mkali kila nikitamani kumtia mimba ili nipate angalau katoto mwisho wa siku anaishia kuniomba hela ya pedi, Nawinda...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Haitajalisha ni kwa kiasi gani unajisikia vibaya. Ni muda wako sasa wa kuacha kumfikiria huyo anayeupiga danadana moyo wako na kukuchukulia poa, mtu ambaye ameshindwa kabisa kuthamini na kumjali...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wana jf niende moja kwa moja kuwa zipi ni athari za kuoa mwanamke aliyemzidi mumewe umri? ila moja ya athari nimesikia ni kwamba mwanaume atayeoa mwanamke mwenye umri mkubwa kuliko yeye...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Kama Kawa wana mmu wenzengu! Jaman naombeni msaada wa counselling yani kila nikifika makambako kuanza kuchanja mbuga kuelekea njombe huwa nachukia sana,Nikifikaga kiwanda cha tawat ndo kabisa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwenye sehemu ya signature nimedisiable mimi au ni nyie mmefanya hio kazi maana kama ni mimi sioni sehem ya ku enable
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Nami nmekuwa na huu ulevi kwa kiasi kikubwa sana.cha kuchovya na kunusa... Huwa ni kama inanipandisha mzuka. Sina tofauti na wale wanaonusa petrol. Ila mimi napenda kuingiza kidole na kunusa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
1. Mwanamke anapenda na kutamani kama mwanaume. 2. Mwanamke yuko juu kuliko mwanaume, ndio maana amedhoofishwa kwa kuaminishwa kuwa yuko chini ya mwanaume ktk dini, tamaduni, jamii n.k mfano...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari za wakati wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada pichani, binafsii nkishaona napigwa chenga ya mwili kunyimwa mchezo pendwa(kugegeda) kwa sababu zisizoeleweka huwa nakuwa nmeshajua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mara nyingi mwanamke baada ya kutongozwa hupita siku kadhaa ndipo kuanza kuvutiwa na mwanaume aliyemtongoza. dalili hizi zinathibitisha bila shaka kua mwanamke uliyemtongoza ameanza kuvutiwa au...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Habar za humu jaman Hiki kitabu nlikisoma kipind nipo secondary but sikutilia maanani jina la hii tamthilia Ila nimekuja kusadiki kuwa lile jina la kitabu litaishi miaka yote dunian Jana...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za jumapili ndugu zangu. Zama hizi tofauti sana na na zama za zamani. Zamani Mzee utakuta ana wake wawili au watatu na kila mwanamke ana mji wake na familia yake. Lakini siku hizi mtu ana...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wadau, Hii nimeitoa kwenye lounge moja whatsapp, mdau mmoja anasisitiza umuhimu wa kujua nn kinaendelea ktika maisha ya mwenza wako.umuhimu wake kama ilivyo kwa umuhimu wa idara ya intelijensia...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom