Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli

Smart boy Shewedy

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
3,718
3,487
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam.

Nakuja hapa kwa mara ya kwanza,

Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe wapenzi kwa ajili ya kuja kuona.
Nipo serious sana ila ningependa awe Muislamu na awe mjasiriamali/muajiriwa.

Naomba sana mwenye nia ya dhati kabisa anicheki PM ili tuyajenge.

Ahsanteni......

Wassalamu.....
 
Bila Shaka ulimpata na ndoa mkafunga mufti
 
Mzee baba Daslam nzima umekosa mke ..unakuja tafuta uku jf

Hope umefanikiwa mkuu....kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom