Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 664
Habari wana JF.
Poleni kwa msiba na mvua kwa ujumla.
Wadau shule na exposure ya maisha zimetubadilisha wengi katika njanja nyingi za maisha.
1. Wanaume wengi wameacha au kupunguza kuwapiga wenzi wao pindi wakoseapo haswa pale wanapofanya kosa la kinidhamu.
2. Wanaume wanawasaidia kazi za nyumbani wenza wao.
3. Wanaume wamekuwa wakionyesha mahaba hadharani pasi na kificho tofauti na kipindi cha nyuma.
4. We care, we show love and all in all we know to knee in case you don't know.
5.
6.
7. We use congo dust fellas