Hii sasa kali
Ushatembelea nyumba kama ngapi?
Ni kweliSi kweli
MmmmmmmhNi kweli
Hivi Mo ni kabila gani?
Mmmmh apo unaposema nyumba yyt ile ndo sielewi labda ungesema nyumba nyingi ina maana amna waarabu wanaoweza kutafuta utajiri kwa nguvu zao za kawaida
Umejuwaje??Ni waarabu sio warabu
Hilo zezeta lina maana gani ndani ya nyumba?
WaitNaomba uthibitisho na vigezo ulivyo tumia kubaini hili jambo maana naona kama ume kurupuka tu, tena et una sema (lazima Kuna ma zezeta) [emoji23]