Mahusiano yaliyopo kati ya MAPENZI na MASOMO

Mahusiano yaliyopo kati ya MAPENZI na MASOMO

Rudisha hyo simu ulipo iba hapo ujampenda hata mmoja wote umewatamani......moyo huwezi kupenda watu wawili unampenda mmoja tu. Hivyo basi sahvi zingatia masomo kwanza.
 
Yaan simu umeibia half umejitaha jina fully....hahahaa.....in fact uko dillema kwa sababu its your first love,ujue kupenda kwa Mara ya kwanza MTU unakuwa kama gala fln HV yaan unapenda MTU kiasi cha kuhisi utamuoa...sasa mm kama kaka yako nakuambia HV,kama huwezi kusoma huku unampenz bhc piga chini wote kabisa,ukimaliza mademu utapata tu yaan wamejaa sana . in fact ukifeli kisa mapenzi,hao mademu wakienda chuo wewe ukabaki mtaani watapata masela wengine naww utasahaulika kabisa,so achana nao mdogo wangu,kwanza advance n ngumu sana hasa kama unasoma science sasa akili yako yenyewe naiona n ndogo sana na ulivyochanganya na mapenzi ndio kabisa umejiroga.......
Achana nao wote,focus on your studies... asikudanganye et unapendwa truly,no girl can leave six cars for the sake of love.....
Ukifika chuo akili itakuwa imepanuka kidogo,u willbknow how to handle the situation, ila hata chuo ukiona mapenzi yanakuvuruga,achana nayo.....
Principle ya kuachana n hii: ukitaka kumuua nyani usimtazame usoni,do it for the sake of your future....njia pekee n either uwaambie kuwa kwa sasa unaona no future with them so they have to step down....au ukishindwa kuwaambia bhc kaa kimya na usiwatafute kabisa....wakikutafuta jibu kama hutaki for ur own sake,watajiongeza.....usijidangabye et unapendwa,feli uone....watakuja chuo naww utasahaulika kabisa Dogo.....do the right thing in the right time.... mm pia nilikuwa kama wewe, hali ilivokuwa tete niliamua kujikalia kimya na sikumtafuta demu yeyote yule,I focused on my studies na nikapata division one nzuri sana...kwa sasa wale wapenz wangu washaolewa huko hawana time na mm.....ukijifanya una mapenzi ya kwenye movie za kikorea kwa hapa bongo tutakuzika kesho tu...

Naandika kwa uchungu sana coz I can imagine ur future if u won't focus on studies.....elimu n muhimu sana kulko chochote...
 
Duuuh skuwai fikilia hicho kitu kabla broo dah yaaan asikwambie mtu pcb naiona chungu but umenifundisha kitu bro thanks sana.. Nilikua nashindwa kuamua kumbe sasa sa hv ni mwendo wa mute tu nikirud hom... Yaaan bora niwakwepe tu kwa maelezo uliyonipa
Tena PCB??
Achana na mapenzi kama unaona yanakusumbua.....soma kwanza.....chuo utapata tu mademu,ukikosa utapata kazini.......ukijitia baba Huruma or mara gentleman utafeli masomo na hao mademu tutawala sisi....amua kama mwanaume for the sake of ur future wife and children.... In fact,if it was meant to be,it will nikimaanisha kama Mungu kakuoangia uoe mmojawapo kat ya hao utamuoa tu hata ukimuacha saiv....be a man....don't feel indebted...its just a fate that makes us to abandon the things we love most sometimes....
.soma mdogo wangu,PCB n ngumu..nmesoma hyo combination enzi hxo mzumbe secondary, naujua mziki wake...put love aside and focus on studies Dogo...papuchi zpo tu
 
Habari wakuu,,,,,,,,,,,,,,,
Nimekua mpitiaji mziri sana wa nyuzi mbali mbali humu jf tangu hapo 2018 na niliyoyapata humu nikaona ni zaidi ya darasa. Huu ni uzi wangu wa kwanza nafikiri..
Kama kichwa cha mada kinavyoeleza ; uhusiano kati ya mapenzi na masomo............

Kwa majina naitwa ramadhani omary ally. wakati nipo o-level niliogopa sana kujihusisha katika mahusiano kabisa maana mara nyingi maneno ya walimu yalikua yakinipa uwoga fulani kuwa kujihusisha na mapenzi wakati upo shule ni vibaya kwani mshika mawili moja....... Nikabaki na kauli hiyo akilini mwangu. pia kwa upande wa wazazi mama alinishauli sana kuwa mbali na mambo kama hayo. Nilipofika kidato cha nne nilikua tayar nipo na mahusiano japo ni ya mbali. Yaaan huyo mtu wangu alikua mbali kimkoa. Nilipenda ila kwa kuwa alikua mbali aikunipa shida sana mimi kuweza kusoma. Nilipiga kitabu vizuri tu mpaka nikamaliza mtihani. Kipindi namaliza mawasiliano mi na yule mwenzangu yalikua hamna hvyo kidgo nilikata tamaa. Kipindi hicho pale pale shule nikavutiwa na binti mmoja hivi. Mpka mwezi wa 12 nikawa teyari nipo nae deep kwenye mahusiano. Lakini japo alikua ni mkorofi korofi bhassi aikunipa shida. Kufikia mwishoni wa mwez wa 12 yule wamkoani akanitafuta. Kiukweli nilimpenda sana na nilishindwa hata jinsi ya kumwambia nna mwingine. Ikabidi niwe naye tena kwenye mahusiano. Sasa hapo nikawa nipo na watu wawili na wote nimewaaminisha nawapenda na wote walikua wakihisi kwangu ni wao tu.
Matokeo yanatoka wote tulikua vizuri tu sasa mpaka naenda shule nikua sielewi kitu yaani nafsi inajisuta nimwache yupi niendelee na yupi.. Mmoja ni wa mda mrefu mwingine ni wa kukutana nae shule tu. Kuwaza huko kukafanya nishuke sana kasomo. Hata nikijaribu wapiii.. Likizo moja nilipokua nyumbani nilijaribu kumuacha huyu ambaye ni wa mda mfupi tu lakini alikataa katu katu.. Na mi mpaka sasa nampenda sana huyu wa mkoani. Na kinachonipa mawazo zaidi ni huyu wa mda mfupi ambay nimekutana nae shule vipi siku tukikutana na akagundua nina mwingine na ki ukweli nimemwaminisha sana kiasi ambacho kama nikisema its over ataumia kupitiliza. Na mi kuwa nae nashindwa kuwa bisy na masomo. Jamani hapo tuu ndo mdogo wenu napofeli naombeni njia ambayo naweza kuachana na huyu mtu bila kumpa maumivu makali ya moyo maana kila njia nayojaribu nashindwa. Na mi nahitaji kusoma kwa sasa.... Nipo shuleni mda huu simu nimeibia ibia tu :::Nifanyaje kuondokana na huyu mtu :::;
Mdogoangu, nakupa siri hiii...

Never trust a person in such an extent thatbunajipa uaminifu ulio tukuka kwenye mapenzi,

yakupasa ukumbuke kua "distant water can never quench your immediate thirsty"

Alaf mapenzi huwa ni kama maajabu flani/ kinyumenyume kwasababu unaye mpenda yeye hakupend, usiye mpenda yeye anakupenda sana, anakukubari, anakuamini... Etc

Kwahyo sasa uamzi niwako, ila chakufanya be systematic kama huna element za mapenzi kwa huyo wa pili hakika usimpotezee mda, ila pia na huyo wakwanza yakupasa ujue kua mnaharibiana attention tuu,,

You better choose one btn the two for yr better progress in this our inherited colonial sort of education that requires much memorization and concentration for final examination rather than more practices.

Hope you understand what I mean.
 
Yaani mwandiko wako nimegundua Ni mwanafunzi na mgeni humu uwanjani jf..zingatia masomo acha upimbi
 
Huna ela halafu bado unasoma alafu unawaza watu ambao siku ukifeli watakuona takataka

Dogo soma kwanza .maana elimu ndio kitu unachostaili kwa sasa

Acha upuuzi
Unatupa hasira kaka zako bure
 
Ebu nipatie namba zao sasahivi niwaambie waache kukusumbua.
Ahahahah dah fulesh takupa ya huyu ambae xina mood nae, pole pole bhana we mpange unavyojua ww, then mteke mpaka anisahau,, ukifanikixha hilo mkuu umeniokoa
 
Soma mdogo angu hao wote unaowapenda ikifika muda utashangaa wanaolewa ww ukiwa hata mpango wa kuoa huna so usijitese fanya elimu muda utafika akili itakuwa pevu zaid na utafanya maamuz yakinifu
 
wakati nipo o-level niliogopa sana kujihusisha katika mahusiano kabisa maana mara nyingi maneno ya walimu yalikua yakinipa uwoga fulani kuwa kujihusisha na mapenzi wakati upo shule ni vibaya kwani mshika mawili moja....... Nikabaki na kauli hiyo akilini mwangu. pia kwa upande wa wazazi mama alinishauli sana kuwa mbali na mambo kama hayo. Nilipofika kidato cha nne nilikua tayar nipo na mahusiano japo ni ya mbali. Yaaan huyo
O'level na kidato cha nne kuna tofauti gani?
 
Ushauri maridhawa
Yaan simu umeibia half umejitaha jina fully....hahahaa.....in fact uko dillema kwa sababu its your first love,ujue kupenda kwa Mara ya kwanza MTU unakuwa kama gala fln HV yaan unapenda MTU kiasi cha kuhisi utamuoa...sasa mm kama kaka yako nakuambia HV,kama huwezi kusoma huku unampenz bhc piga chini wote kabisa,ukimaliza mademu utapata tu yaan wamejaa sana . in fact ukifeli kisa mapenzi,hao mademu wakienda chuo wewe ukabaki mtaani watapata masela wengine naww utasahaulika kabisa,so achana nao mdogo wangu,kwanza advance n ngumu sana hasa kama unasoma science sasa akili yako yenyewe naiona n ndogo sana na ulivyochanganya na mapenzi ndio kabisa umejiroga.......
Achana nao wote,focus on your studies... asikudanganye et unapendwa truly,no girl can leave six cars for the sake of love.....
Ukifika chuo akili itakuwa imepanuka kidogo,u willbknow how to handle the situation, ila hata chuo ukiona mapenzi yanakuvuruga,achana nayo.....
Principle ya kuachana n hii: ukitaka kumuua nyani usimtazame usoni,do it for the sake of your future....njia pekee n either uwaambie kuwa kwa sasa unaona no future with them so they have to step down....au ukishindwa kuwaambia bhc kaa kimya na usiwatafute kabisa....wakikutafuta jibu kama hutaki for ur own sake,watajiongeza.....usijidangabye et unapendwa,feli uone....watakuja chuo naww utasahaulika kabisa Dogo.....do the right thing in the right time.... mm pia nilikuwa kama wewe, hali ilivokuwa tete niliamua kujikalia kimya na sikumtafuta demu yeyote yule,I focused on my studies na nikapata division one nzuri sana...kwa sasa wale wapenz wangu washaolewa huko hawana time na mm.....ukijifanya una mapenzi ya kwenye movie za kikorea kwa hapa bongo tutakuzika kesho tu...

Naandika kwa uchungu sana coz I can imagine ur future if u won't focus on studies.....elimu n muhimu sana kulko chochote...
 
Mkuu embu soma kwanza yni unamademu wawili unaomba ushauri Dah sema nini soma alafu ukija kuwa na miaka23 kwenda mbele kidogo akili itakuwa imekuwa naisi una miaka20 kurudi chini bado sana
 
Back
Top Bottom