Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,985
- 16,165
Maneno ya Mungu kama ilivoandikwa katika kitabu cha wakorinto.
1 Corinthians 12:14-26
[14]Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi.
[15]Mguu ukisema, Kwa kuwa mimi si mkono, mimi si wa mwili; je! Si wa mwili kwa sababu hiyo?
[16]Na sikio likisema, Kwa kuwa mimi si jicho, mimi si la mwili; je! Si la mwili kwa sababu hiyo?
[17]Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? Kama wote ni sikio ku wapi kunusa?
[18]Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotaka.
[19]Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
[20]Lakini sasa viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja.
[21]Na jicho haliwezi kuuambia mkono, Sina haja na wewe; wala tena kichwa hakiwezi kuiambia miguu, Sina haja na ninyi.
[22]Bali zaidi sana vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa vinyonge zaidi vyahitajiwa zaidi.
[23]Na vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa havina heshima, viungo vile twavipa heshima zaidi; na viungo vyetu visivyo na uzuri vina uzuri zaidi sana.
[24]Kwa maana viungo vyetu vilivyo na uzuri havina uhitaji; bali Mungu ameuungamanisha mwili, na kukipa heshima zaidi kile kiungo kilichopungukiwa;
[25]ili kusiwe na faraka katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziwe.
[26]Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia nacho, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.
Note; aki papuchi inamuonekano mbaya hatar, lakini ni tamu kuliko kila kitu.