Tunapoelekea wadada watazidi kuwa single

Tunapoelekea wadada watazidi kuwa single

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Wadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zenu kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zake wakiolewa maisha ni vise versa kwa wale wasiotaka kulea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
 
Wadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zake kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zao wakiolewa maisha ni vise versa kwa aale wasiotaka kulelea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
UMEKUJA KUNISEMA HUKU 😉 😉
 
Aina za marioo .
1.kuna mario wao wanajidai wanakutunza kama miezi kadhaa baadae analia shida mpaka amerudisha mali zake zote anaendelea kukuganda.
Hata kukukopea anakukopea kwenye shida yupo baadae anabadilika woi anadai kakwama hadi na leo na kesho anakukula tu na wala hushtuki mpaka ujue ameoa au anademu mwenye mimba
2. Huyu anatengeneza mazingira yakuonana atakuungisha bidhaa za hapo kwako au za ofisini kwenu halafu anakupa mkasa wa familia yao analia lia unamsaidia kwisha umeolewa naye analeta familia hadi kuku wakwao ataishi na wewe.
3.huyu atajidai anazo mpaka atakuweka kuwa yeye yupo juu baadae ameshakukula na amekuweka kumbu kumbu anakudaka .
Nahutoki kwake kwa maana ameshakuteka fulani naumedatika na unakamimba kake bora umzalie J tu.
 
Wadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zenu kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zake wakiolewa maisha ni vise versa kwa wale wasiotaka kulea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
na utamu HUPATI ............pambana na hali yako sister na sie wenye hela hatutaki nyie wenye hela sababu mnasumbua
 
Aya ni mabadiliko ya tabia ya nchi kubalini tu maaana hakuna jinsi
 
Katoto kazuri, mipango yangu iko ukingoni, baada ya hapo nahitaji kukuweka nyumbani kwangu kama mke rasmi.
 
Hahaha mwanamke Ni kiumbe au kitu chenye thamani sana machoni pa Mwanaume..

Nani wakuhudumia Mwanamke keshatombw* tombw* hovyo unadhani wanaume Ni wajinga waache ghafla kuhudumia???Pesa inatoka ukiwa na thamani kweli au umepata mwanaume zezeta..

Tafuteni kutunza thamani zenu kwa kuziba mapaja hayo ndo utajua maana halisi ya kuhudumiwa.Mwanaume Anaangalia kwanza kama hii pesa nayotoa inaendana na thamani yake????au ndo natoa leo kesho na mkuta kwa dereva bodaboda.

Maombi yenu ya kutaka fifty fifty m*mae tumeyapokea tuchukueni Sasa hiyo fifty fifty Kama mlikuwa mnaona tuna faidi kuwa vichwa vya familia,kuhudumia familia. Twendeni kwenye mfumo jike, maamuzi toa wewe,familia hudumia wewe na msemaji wa Mwisho kuwa wewe na ukitaka kuwa na wanaume kumi kuwa nao.
 
Acha hasira na miaka 6 nipo single sioni faida ya kuwa na mwanaume mimi nakama uamini njoo shika hadi ndani kama nasisimuka hamuna faida kazi kutupa nimba zisizo za mpango na kutuharibia vizazi vyetu.
Mimi nilikatashauri yakutoliwa na mtu yeyote kisa hamna faida na huu mwaka sasa ndio wasaba
 
Ni kwamba, wanaume husband material hawana pesa, na wanaume wenye pesa tayari wameshaoa na au siyo husband material.
Ni kwamba, wanawake wenye kuhitaji mwanaume mwenye uwezo wa kuhudumia kila kitu, ni ngumu sana kumpata.
Ukweli ni huo tu, maana ile dhana ya baba ahusike kila kitu nyumbani kifedha, utapata tabu sana maana hautoolewa maana wanaume kama hao ni adimu.
Ukitaka mwenye uwezo, unakuta hafai au hawezi kukuoa. Ukitaka anayefaa kuwa mume, basi hana uwezo na au ana uwezo kidogo.
Chagua kusuka au kunyoa.
 
Back
Top Bottom