Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu, Kama ilivyo kawaida kwa dini zetu kwa utaratibu tulioukuta wa kufunga swaumu, hii inajumuisha kujinyima vitu vingi ambavyo vipo katika taratibu ya swaumu husika Ila kuna hili...
1 Reactions
2 Replies
788 Views
Wakuu, Hii naongea kutokana na experience niliyo nayo. Kati ya wanawake wote niliopita nao miaka miwili mitatu iliyopita, ikitokea accidentally or intentionally sikubeba kinga, basi nikitaka...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi...
21 Reactions
194 Replies
12K Views
Stockholm syndrome ni ugonjwa wa kisaikolojia ambapo mtu anaye nyanyashwa anajikuta anatengeneza hisia za kumpenda mtesi wake unconditional. It sounds a bit strange for someone to have...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wanajamii habari za mda huu Bila kuwachosha Mimi ni mkristo nilioa mwaka 2017 nilioa na huyu niliyemwoa ni mwislam Na mwanzo tulikuwa tunahudhuria sana kanisani kabla ya ndoa na baada ya ndoa...
8 Reactions
179 Replies
20K Views
WOSIA WA BABA KWA BINTI YAKE KABLA YA HARUSI Mwanangu nisikufiche watu wengi huchangia sherehe ili waje kula na kunywa na kuoneshana fahari, ukoo wa Mume Vs ukoo wa mke hawa kwenye Send-off na...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawaulizia hasa hawa wawili. Wa kwanza ni Mkuu CHAI CHUNGU. Huyu ni mwanzilishi wa simulizi za kusisimua na zenye muendelezo. Amepotea sana. Wa pili ni Mkuu Zahra White. Huyu alijipambanua kama...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
"Usije kukimbilia kuoa/Kuolewa kwa sababu unampenda na hutaki kumpoteza" Vijana wenzangu leo tukumbashane mambo machache tu hapa kwenye mahusiano, Katika pita pita zako unaweza kujikuta tu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Single mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Kuna mwanamke nimehusiana nae mwaka mmoja kanionesha upendo hadi siamini hata akitokea manzi gani sizani kama hataufikia. Asante mungu kwa kuniletea mwanamke sahihi. Mambo yakae sawa nioe kabisa...
10 Reactions
79 Replies
7K Views
Wasalaam wakubwa..Sina mengi ila kwa utafiti nilioufanya leo nimegundua asilimia 85 ya Wa'Tanzania leo wameangalia Porno video,Na nnahisi Pale porno hub ishawekwa category ya Pastors Porno(Natania...
4 Reactions
34 Replies
9K Views
Naandika ujumbe huu nikibubujikwa na machozi hapa machame baada ya kushuhudia maelfu ya binadamu wenzetu wakitokwa na machozi kama matone ya mvua wakimlilia mzee Dr Mengi. Nimejifunza kuwa ukiwa...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Waelewe/Wafahamu Wanaume (Understand Men) Habari za muda kidogo wasomaji wa makala ninazoziandika hasa kuhusu saikolojia na maisha karibu katika makala inayohusu kuwaelewa wanaume. Niombe radhi...
6 Reactions
20 Replies
7K Views
Kama mtu anakupenda na anakujali lazima atafanya jitihada ya kutengeneza muda wa kuwa karibu na wewe bila ya kujali ubize au umbali uliopo baina yenu. . Atakuwa karibu na wewe kwa kila namna...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Huwa sielewi kabisa.na sijui lengo ni nini. Kwa nini mtu hujirekodi wakati wa mgegedo . Je utamu unazidi? Ni kuigaiga? Ujinga? Au Ni nini? Mpaka maaskofu ? Shit
3 Reactions
171 Replies
13K Views
Hivi kweli mtu mzima unaweza kupoteza mda kumfatilia mwanaume mwezio heti kamnanilii Fulani .. yaani mitandao ya kijamii Tz bado inawachemsha .
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi niseme, naomba watu wanaojua tiba za asili waendelee kutoa elimu jinsi ya kutumia dawa za asili kwani, tunazidi kuangamia watanzania. Dawa kama nyonyo(mnyonyo) nahitaji kujua inavotumika kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Eti makalio yenye vishimo kama vya dimpo ni makalio fake? Je tofauti ya makalio fake na natural ni ipi?
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake...
7 Reactions
72 Replies
25K Views
Back
Top Bottom