Gereza la puchu lina mateso sana

Gereza la puchu lina mateso sana

Tripp

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
916
Reaction score
1,601
gereza la puchu linamateso sana yani hauishi maisha yako unayoyataka inakupangia yenyewe unakuwa mtu wa majuto afya inadhoofu ,mipango mini inaribika.
 
hizo ni fikra potofu kwa sisi magwiji wa puchu
 
Mimi kuacha nimeshindwa, ili niweze kukaa bila kupiga lazima kila week niwe na game sasa kulingana na ratiba nashindwa so najikuta napiga tu, mwaka wa 11 huu
 
Back
Top Bottom