Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Messages
652
Points
1,000
Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2012
652 1,000
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.

Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.

Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.

Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.

Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?

Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.

Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
 
Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Messages
652
Points
1,000
Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2012
652 1,000
Sasa ushaona unapewa mapenzi robo robo si ujikatae? Matatizo mengine mnayatengeneza wenyewe then mnatafuta wa kuyatatua nao.
Hivi umesoma post nzima au umetaka tu kujibu nawe? Aaahh watu wa MMU, kuchoka mie!
 
fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
396
Points
1,000
fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
396 1,000
mwanaume hata ukamuwekea wanawake 100 ukamwambia chagua 99 kati ya hao cha ajabu hata yule mmoja aliyemuacha roho itamuuma kumuacha...nadhani jibu utakuwa nalo hapo
 
themanhimself176

themanhimself176

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Messages
1,451
Points
2,000
themanhimself176

themanhimself176

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2016
1,451 2,000
Tatizo lenu huwa hamkawii kunywa sumu,kifupi wanaume huo sio utamaduni wetu,tunatakiwa kuwa na wanawake wengi as much as we can....
Naunga mkono hoja mkuu
 
lhera

lhera

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
1,292
Points
2,000
lhera

lhera

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2018
1,292 2,000
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.

Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.

Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.

Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.

Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?

Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.

Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
Ndio maana asilimia kubwa ya wanaume tunawatema maana mtu yupo yupo kama jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Messages
652
Points
1,000
Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2012
652 1,000
Kwa hyo mpaka muambiwe? Hauwezi jiongeza?
Mkuu, wewe ndo umekuja umesema umenielewa tuanzishe mahusiano. Kwani unapoacha kunielewa si uage tu? Shida iko wapi?
 
Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Messages
652
Points
1,000
Queen V

Queen V

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2012
652 1,000
100%!huwa haipo wewe,ukipata hata 51%inatosha sana!!!kwani nyie ni pacha mpaka mfanane?

Sent using Jamii Forums mobile app
100% ninayozungumzia hapa ni 100% ya mapenzi unayoweza kutoa ambayo mwanzo wa mahusiano yetu ulinipa. Sasa unapopunguza hadi 20% kimya kimya unanipa ujumbe gani?

Why usiseme tu mtu mzima mwenzio nikakuelewa?
 
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
801
Points
1,000
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
801 1,000
Huwezi shindana na asili.

Ndivyo tulivyo.
 
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
3,934
Points
2,000
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
3,934 2,000
Hahahaha. Nakuja vipi na huku nilipo sijaachwa!?
Huyo unampotezea kimya kimya kama anavyo kupotezea. Ngoma draw..
Fanya ujisogeze PM tafadhari ili tuyajenge mtoto Queen 😅
 
Pharm D

Pharm D

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Messages
954
Points
1,000
Age
30
Pharm D

Pharm D

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2017
954 1,000
Ni kosa la kimkakati kumtamkia mwanamke kwamba humtaki, lengo kuu hapa ni kutengeneza mazingira ya kusitisha uhusiano bila kusitisha kumtafuna, ili hili liwezekane lazma umuache ni kutengeneza mazingira ya kuachana bila sababu ya msing ili hata mkikutana mnaulizana hv ilikuaje tukaachana? Blah blahs unakula mzigo unasepa... ukishakua na ma ex wako kadhaa wa namna hii huwez lala na nyege ukikosa mbunye mpya unatafuta kiporo kilicho free unaweka siku zinasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,285,935
Members 494,834
Posts 30,879,450
Top