Huyu mwanamke ananiona sina akili

Huyu mwanamke ananiona sina akili

wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
137
Reaction score
210
Alikuwa Kipenzi cha roho yangu! Akanisaliti. Aliolewa miaka 5 iliyopita!

Leo hii ananikaribisha nyumbani! Anasema mm ndio nafahamika zaidi
 
Hahahaha anasemaje yan wewe kwamba?
 
Kama sijakuelewa, anakukaribisha wapi ikiwa alishaolewa?
 
Alikuwa Kipenzi cha roho yangu! Akanisaliti. Aliolewa miaka 5 iliyopita!

Leo hii ananikaribisha nyumbani! Anasema mm ndio nafahamika zaidi
Hujui maisha ya awamu ya tano yamesababisha wanaume wa kweli kujikana?, Keshakwama alikoenda kipindi cha JK huyo
 
Alikuwa Kipenzi cha roho yangu! Akanisaliti. Aliolewa miaka 5 iliyopita!

Leo hii ananikaribisha nyumbani! Anasema mm ndio nafahamika zaidi
Kweli wanaume tumeumbiwa mateso!

Hata hilo ni mojawapo ya mateso!

Kuna wakati wanawake wanatuona hatuna akili kabisa za kuwazia maisha yetu!
 
Kweli wanaume tumeumbiwa mateso!

Hata hilo ni mojawapo ya mateso!

Kuna wakati wanawake wanatuona hatuna akili kabisa za kuwazia maisha yetu!
Hahahaaa aseee unamfanyaje sasa yeye ndio mjinga
 
Hongera sana mkuu. Wachache wenye bahati kama yako. Kaolewa 5yrs leo anakuja kukuambiaje? Hahahaaa
 
Back
Top Bottom