Sheria Inasemaje kuhusu biashara ya ngono?

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
438
507
Wakuu Salam,
Biashara tajwa ni moja Kati chanzo kikuu cha mapato kwa dada zetu wengi na walio Warembo wamijini.
Wengine mpaka wamejenga nyumba nzuri tu, na Wana drive gari kalikali mijini.
Hii biashara inafanywa waziwazi tu, kwahiyo hatuwezi kusema ni biashara haramu hii.
Kwahiyo,
Sambamba na Sera yetu ya hapa kazi tu, pamoja na Changamoto ya ajira kwa vijana napendekeza kurasimishwa kwa biashara hii pendwa, ili iweze kuchangia kwenye mapato ya serikali.
Kuliko kuwakamata na kuwaweka rock up usiku mmoja, usiku unaofuata wako barabarani tena biashara inaendelea.
Hapana, haipaswi kuwa hivo.
 
Wewe binafsi ungefurahia ma bint zako kumiliki magari ma kali kutokana na hiyo biashara au mama ako anakusomesha kwa hiyo biashara au shangazi wako ndowamiliki wa madanguro maarufu mjini,.... would you be proud of that? Jibu lako nimuhimu kwa maamuzi ya serikali
 
Binafsi hii Sitaki hata kuisikia.
Lakini mbona ipo, Imeshika Kasi maeneo mbalimbali ya miji?
 
Nyie ndomnaikuza tangu zamani hayo mambo yapo kisirisiri nyie mbataka kulazimisha ili iweje? Tukupata kizazi kisio kua na ma baba ni hatari sana kwamaisha yao watoto hawana hatia kwanini uwadhibu?
 
Back
Top Bottom