Ukitaka kujiunga na kifurushi cha stress mtegemee mwanamke....
Masikini jamaa mmoja hivi amekonda yani kawa kama roll pop kabaki kichwa tu, wanawake sio wa mchezo mchezo
Sasa huyo jamaa yako nae amekaa tu anasubiri mwanamke amlishe? Angejitingisha kidogoBora umtegemee shetani kuliko kumtegemea mwanamke. Juzi kuna jamaa yangu amefukuzwa na mwanamke amemchoka kumlisha
Dah!mdau kitaani kamuoa afande, yeye anaendesha boda.
huyo afande anampelekesha hatari.
lazima kwa siku apeleke 10,000 ya boss(afande).
saa2 kamili awe nyumbani,
anafua nguo saa11 asb,
kwa ujumla yule ni kwa ajiri ya uhausiboi tu na kumlala siku anataka huyo dem.
nasisitiza:
usioe anayekuzidi kipato