Ni nani anawaamini wanawake hapa Duniani

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Maana hawa viumbe sio mchezo muda wowote na saa yeyote wanaweza kuchange,
Ukimtendea wema kwa kudhani atatulia ndio kwanza atakuletea mapicha picha,
Ukimtendea vitu vya kumkela na visivyofaa ndio unaweza kushangaa akatulia na kukung'ang'ania,

Wanataka nini hawa viumbe maana kuna kipindi unaweza kumnunulia ndinga kali ili atulie cha kushangaza ataenda kugawa penzi kwa fundi garage kisa kambadilishia oil filter.

Nani anawaamini hawa?

IMG_20190507_114708_586.JPG

Cc Zero IQ
 
Kama tu adam aliwaamini wakamlisha vitu ambavyo Sir alikataa tusile sie ni akina nani tusiwaamini
 
Kuish nao kiujanjaujanja ukijifanya unajua kupenda utapata tabu saaaaana amin nakwambia utapata tabu saaaana tena saaaaana
 
mwanamke ni wa kuishi nae kwa akili sana sana,
kuna mda mchukulie kama mtoto kuna mda jifanye ww ndo uko chini alafu yy ndo baba,

kuna mda kua dikteta tena kua gaidi,kisha unapoza poza kwa kumfanyia vitu vya thamani mpaka ajione yy ndo mke wa mfalme na hakuna kama yy,,
Maana hawa viumbe sio mchezo muda wowote na saa yeyote wanaweza kuchange,
Ukimtendea wema kwa kudhani atatulia ndio kwanza atakuletea mapicha picha,
Ukimtendea vitu vya kumkela na visivyofaa ndio unaweza kushangaa akatulia na kukung'ang'ania,

Wanataka nini hawa viumbe maana kuna kipindi unaweza kumnunulia ndinga kali ili atulie cha kushangaza ataenda kugawa penzi kwa fundi garage kisa kambadilishia oil filter.

Nani anawaamini hawa?

View attachment 1103703

Wanawake ni wazuri sana lkn hamjui kuishi nao ukiwajulia utapata raha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom