Hali inatisha!

Hali inatisha!

africansongs

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
83
Reaction score
225
Habarini wadau.
Huku dodoma ni hatari.
Yaani siku hizi ukitoka out, wanaume wanavaa suruali za kubana na wengine kuvaa mlegezo kama wanaume wa kinondoni. Ukiulizia vipi hizi tabia, unaambia chaklua hao.
Sasa wakilewa wanakata mauno balaa, wengine mpaka wanalia waondoke na mtu.
Huku dodoma kwakweli hali si shwari.
 
Chakula za ma MPs na wafanyakaz wa umma hizo... Malaya wote nao wamehamia dodoma sikuizi...
 
Maisha yanabadilika na mambo yake ndivyo ilivyo dodoma kwasasa
 
Manjegere bwana... ni vile tu hamna cha kuwafanya .. ila wanachefua sana
 
Ndio maana demiss alisema kuna wanaume wanalia kuperepetwa kumbe ni kwao Dodoma aiseee Demiss njoo pm
 
Back
Top Bottom