Wanaume ubaguzi sio jambo la busara!

Wanaume ubaguzi sio jambo la busara!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Baada ya Tanganyika kukumbwa na wanaume goigoi hadi serikali kuingilia kati ili kupata suluhisho la tatizo sasa rasmi wanaume wa Dar wameamua kuwatenga wanaume wa kinondoni!
Hali inatisha hasa kwa sisi wanaume wa Diaspora tunapata tabu sana kujitambulisha kuwa sisi tumetokea Tanzania hasa Dar es salaam,inabidi tujitabulishe tu tumetokea Uganda maana hili swala limeshangaza ulimwengu mzima kwamba wanaume wa Tz watuna nguvu kabisa za kiume
Hii imepelekea unapotongoza Demu asilimia za kukubaliwa ni 3%
 
Hongera kwa kuwa mganda.

Tuache sisi wanaume wa dsm tusiogopa haya maneno ambayo hata kwenye kanga yapo.
 
Back
Top Bottom