Kuna sababu ya kukutana na watu hawa waonyeshe upendo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1103435



Umekutana na mwanaume amefiwa na mkewe na ameachiwa watoto wadogo. Onyesha mapenzi kwa watoto.

Unaolewa na umemkuta mama mkwe umri umesogea, mlee kwa mapenzi yote.

Kuna sababu ya wewe kuwepo pale.
 
Sawa ila kuna watu wanavunja moyo wa kusaidia watu wengine,imani ya kusaidia inapungua taratibu
 
Life is all about love, onesha upendo hata kwa wanaoukataa, kwa macho ya njee wanapinga na kupga vita vikali ila mioyon mwao, ndani yao wanakubali kile unachowaonesha tatizo n kwamba awawez kuionesha waziwazi hyo hali...
TUISHI KWA UPENDO, ALL FOR LOVE
 
Kumpenda asiyekupenda ni changamoto..Hongera kwa walio fanikiwa kwenye hili..
Si yale mapenzi ya mpenzi wako hapana ni mapenzi kwa jamii inayokuzunguka hasa kwa the vulnerables
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sawa ila kuna watu wanavunja moyo wa kusaidia watu wengine,imani ya kusaidia inapungua taratibu
Yaaap, hilo nalo neno, back days nilikuwa nasaidia sana mbali na watu wa mtaani ninapoishi, nimejitoa sana kwa ajili ya sehemu ninayofanyia kazi, ila yaliyonikuta last year, nikajisemea enough is enough sitokuja kusaidia mtu tena hata aje analia machozi ya damu. Ndio utaratibu niliojiwekea, kama business let us do business full stop.
 
jamani hakuna tabu kama kuwapenda watu wasiojali kuhusu wewe. ni raha sana kabisa kumpenda akatambua kuwa unampenda.
 
Back
Top Bottom