Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa na mchakato wa kukaa mwaka mzima bila kugegeda kwa malengo yangu binafsi,tayari nimeshakamilisha miezi sita!,na Jana nimetest mitambo kama ipo fresh na Demu mmoja sasa naendelea kumalizia...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Nilienda kumtembelea mama mchungaji wetu maana mchungaji hayupo yuko kwenye mkutano mkoa mwingine huko, ile nafika tu nae ndo anatoka.... namuuliza mama wapi tena nimekuja kukusalimu wewe...
0 Reactions
113 Replies
11K Views
Habari za mida bandungu? Kumeibuka tabia ya wanaume kutuchambua kama karanga (sisi wanawake) unasikia kabisa jamaa linasema "yaani nioe mwanamke anafanya kazi bar" sasa unadhani kuna tofauti ya...
8 Reactions
130 Replies
10K Views
Wana mmu nimpende nani humu??? Mzigua90 maa mwenye ma iq yake makubwa Shunie mrembo mwenye mbwembwe zake Sakayo mwenye maringo yake joanah mwenye majibu yake cute b mwenye misemo yake ledada...
7 Reactions
165 Replies
9K Views
Ndio hivyo tangu nimwagane na wife niliempenda sana,3year ago.Nashindwa kupenda tena kila ninaekutana nae naona ndio yuleyule tu. Advice me please.
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Wasalaam, wakuu bila shaka mko poa j5 hii, moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Jana nimepata simu mpya kupokea sauti ya KE akajitambulisha, ilinichukua sekunde kadhaa kumkumbuka Oooh...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Yaani Mimi nikiwa na Msichana kwenye mahusiano, inapofikia kwenye suala la mawasiliano let's say kuchat huwaga Ni mzito Sana yaani hadi manzi aanze kunitafuta mwenyewe na mimi ndiyo na respond...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Jana nilikuwa na mihadi na mpenzi wangu, mama aliyenizalia mtoto wangu, nilikuwa nimemmisi kiukweli na hii ni baada ya kutokukutana nae almost miezi 3, Alikuja Asubuhi sana baada ya chai ile...
6 Reactions
94 Replies
13K Views
Wewe kama mwanamme ungependa kuwa na ndoa kama ya baba yako? Na wewe kama mwanamke ungependelea kuwa na ndoa kama ya mama yako karne hii? Why / why not ?
7 Reactions
88 Replies
6K Views
Wadau wazima, Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia...
65 Reactions
669 Replies
46K Views
....Natulia sasa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndoa nikitu sijaelewa kama ni serious hivi ila kwa jamani sioni kama nyie mlioko kwenye ndoa mnaona. 1.haya maneno mwaliona simple napia kwa walio kwenye ndoa . A. Kwa shida na raha .(kwa hiyo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwaka 2017 ndio unaishia, inshallaaah Hii ni thread special ya kuweka nyimbo nzuri za maharusi kuingilia ukumbini, wale wa masihara ambao mtasema wimbo wa "CCM mbele kwa mbele" "nakupenda tu by...
1 Reactions
93 Replies
43K Views
Jamani wanaume serious wamo humu jukwaani. Wengi wao huwa hawachangii sana nyuzi. Huwa ni wasoma comments. Akivutiwa na uandishi wa mdada anatafuta njia ya mawasiwaliano ya ziada. Mengi huwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Unapomsaidia mwanamke kwa kumshomesha, kumtibu au kumtafutia kazi kwa lengo LA kuja kumuoa au kuingia naye kwenye mahusiano huko ni kubet inabid ukubaliane na lolote lile Ushauri usipende sana...
1 Reactions
2 Replies
958 Views
Wakuu habari za muda huu, kuna thread moja niliwahi post kwenye love connect nikitafuta wangu wa moyo. Bahati nzuri kati ya wakiokuja nilikongwa nyoyo na binti mmoja (30yrs) safii alinipendeza...
3 Reactions
73 Replies
5K Views
Full kubembelezana kama njiwa.Sitaki nataka nyingi kushinda maelezo.Lazima uhakikishe una taulo zito kwa ajili ya kufuta machozi.Jiandae pia kuoga damu kunako Mheshimiwa. Tendo huishia hapo hapo...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale, Naenda kwenye maada, iko hivi kama maada inavyo jieleza hapo, yaani mwanamke kukaa mapaja waziwazi pale wanapokua wawili na mmewake, iwapo...
0 Reactions
74 Replies
11K Views
Habari ya usiku wakuu, Kila mwanaume huwa anapatwa hisia za kimapenzi kwa mwanamke kwa namna tofauti. Ngoja niwarudishe miaka ya nyuma kidogo 90's na mwanzoni mwa 200's ambapo wanawake walikuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
mpaka sasa ingekuwa mwanamke kama sio bikira haolewi, ingekuwaje!?
1 Reactions
70 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…