Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Nilikuwa na mchakato wa kukaa mwaka mzima bila kugegeda kwa malengo yangu binafsi,tayari nimeshakamilisha miezi sita!,na Jana nimetest mitambo kama ipo fresh na Demu mmoja sasa naendelea kumalizia miezi sita iliyobaki!
Faida kubwa niliyopata ni kwamba pesa inakaa sasa kwenye wallet vizuri na mambo mengine yakiendelea mubashara!
Wanaume tukiamua tunaweza
Faida kubwa niliyopata ni kwamba pesa inakaa sasa kwenye wallet vizuri na mambo mengine yakiendelea mubashara!
Wanaume tukiamua tunaweza