Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na uzao kutokuwa na mvuto.Mtu alitegemea azae mtoto mwenye muonekano fulani,lakini kutoka na sababu zilizopo nje ya uwezo wake akaja tofauti.Kuna makala moja...
Wakuu nina Laki moja(100k) sasa nimeshidwa niandae zawadi gani kwa ajiri ya harusi ya Rafiki yangu msaada wenu tafadhali
Kwa pesa hiyo naweza nikawaandalia zawadi gani.
Ahsanteni
Kipi ulichokimis kutoka kwangu?
Wanaume jiandaeni baadae nawalipua,mmenifika kooni
Usiombe kua na mwanaume muoga maishani kwako yani ni kero tupu. jianaume oga ni hasara kwa familia,jamii jwa...
Maana nimegundua wanawake wengi wa bongoland ni vichwa panzi na ni mabogus tupu!!
Imefikia stage yani akili zao wanawaza kumiliki mitako abnormal eti ndio mtaji kuliko akili!!
Hii itanisaidia...
Mapenzi yanahusisha 100% ubongo. Umewahi jiuliza kwanini baada ya kufanya mapenzi unapata usingizi wa ajabu ?
Hii ni kwa sababu ubongo unakua umetumika sana kiasi kutokua na uwezo wa kuuhudumia...
Kama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia...
Tafadhali naitisha kikao cha dharura tuje kujadili sisi ma single Father ambao jamii haitutambui uwepo wetu lkn tupo wengi tu tunajikaza kiume!
Wale wanaume tuliochukua watoto ama mtoto na kuishi...
Hhahahaa uwi dunia in mambo jamani acheni tu
Basi buana juzi Kati natoka dar-dom kwenye siti nimekaa na mtu mzima Sana, no stori Hadi tunafika,mbele Kuna kijana wa makamo ambaye kwenye kiti...
Dear JF,
Mke wangu tumeoana naye miaka kumi iliyopita, siku moja niliona SMS katumiwa na x-boy friend wake siku ya Jumapili ametumiwa tsh 100,000/- nikamuuliza akasema kuwa alikosea kutuma...
Dunia inabadilika na uhalisia wa mambo unabadilika Leo hii ningepewa fursa ya kupendekeza maana mpya ya upendo ningesema upendo ni pesa kwa sababu zifuatazo.
1. Upendo ni hali ya kujali na...
Jamani kiukweli nina hamu na kuangalia haya mashindano japo liking'amuzi nalotumia inaonekana hawaonyeshi...
Rasmi mwaka huu nmeamua kutupa na kuacha kabisa kutumia hiki ki STARTIMES
Yaani...
Nyumbani tuna paka jike.
Kwa vile tuna watoto wadogo na wanapenda kumchezea tukaona isiwe mbaya tumgharamie kumpeleka vet clinic kwa check up,kumkata kucha ,madawa etc
Tatizo ni kwamba anashiriki...
Polen kwa majukumu wakuu,kama kichwa kinanavojieleza hapo juu,ningetaka kujua,iv inakuaje x wako anakua anakusumbua sanaa na txt pamoja na calls nyingi tu huku keshamua kukuacha na kwenda kwa...
Nilishalia sana kwa mrembo flani kipindi hicho, Nilishaomba sana samahani kwa makosa ambayo ata sikuwa nimefanya mie,
Kuanzia mapenzi yanipe Funzo nimegundua kitu kimoja neno Samahani kwenye...
Njia rahisi ya kuachana na mpenzi wako,ni ku-save namba yake ya simu kwa jina la machukizo mfano:-mweu,chizi,bogus,taahira n.k Siku atakapojiona tu,ataanzisha fujo na ndio itakuwa chanzo cha...
Bila kupoteza muda mimi nimekuwa sipendi na nawachukia mademu wafupi kama nyundo aka mbuti from ituri forests!
Kwanza hata ukitembea naye barabarani haileti mvuto kabisa hata kumpiga kiss lazima...
Ok,wakuu,..weekend yangu imeanza leo,.
to the point
Mim bwana nmepitia meng kwenye mahusiano,nshapenda saana had kua chiz,..namii nkipenda nmependa kwel naweza penda mwanamke ile kupitiliza ,yan...
Hii ishawahi nitokea wakuu , ilikuwa noma sana,we acha tu mapenzi
HAYAELEWI .ilikuja kuwa badae sana nilipomalizaO-level.Ndo nkajua mapenzi hayaelewi na ni balaa ikija kichwakichwa.OVA Wakuu