Upendo wa kweli upo kwenye pesa.

Upendo wa kweli upo kwenye pesa.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,188
Reaction score
14,346
Dunia inabadilika na uhalisia wa mambo unabadilika Leo hii ningepewa fursa ya kupendekeza maana mpya ya upendo ningesema upendo ni pesa kwa sababu zifuatazo.
1. Upendo ni hali ya kujali na kusaidiana.. hivi dunia ya leo unaweza kumjali mtu au kumsaidia mtu bila pesa.?

2. Upendo ni mvuto(muonekano wa mtu).. Nani anaweza kuvutiwa na kitu chenye muonekano mbaya? na ili uwe na mvuto mzuri lazima uwe na pesa za kukufanya mtanashati au mrembo.

3. Upendo ni heshima. Anayekupenda lazima hakuheshimu.. Leo hii nani atakuheshimu ikiwa hauna pesa.. Ndo maana masikini wengi tunachukuliwa poa sana

4. Upendo ni furaha. Furaha ya kweli ipo kwenye pesa.

5. Upendo ni Faraja kwa wale wenye matatizo.. Ndo maana kwenye misiba na matatizo ya ugonjwa inafanyika michango ya rambirambi ili kuwafariji wafiwa.

Moja ya vitu muhimu zaidi kuvifanya duniani ni kutafuta pesa tu. Ukikosa pesa familia yako yenyewe itakosa upendo na wewe na utakuwa useless. Pesa siyo kitu tu bali ni kila kitu.
 
Wenye pesa zao njooni mthibitishe hilo.
 
Of course pesa ni kila kitu na inaleta heshima.vijana wa kike na kiume tuitafute kwa nguvu zote,ukiwa nazo utawabadil wanaume Kama underwear,hutaobabaishwa na kapuku alokulia kijijin akaja mjini kwa mbio za mwenge hahahah(kwa wanawake).

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Kwani na wanawake mnafurahi kubadilisha wanaume?
 
Ndio mwenye hela ndo mwenye nguvu isitoshe mnasema mkiwapa wanawake hela mtawatumia na kuwatupa ,na sisi likewise tukiwapa men hela tunawause kwa muda tukikinai tunatupa kuleee hahahahah,kama nawaona watokwa povu watakavyoivamia hii comment

Back
Top Bottom