Njia rahisi ya kuachana na mpenzi wako

Njia rahisi ya kuachana na mpenzi wako

Njia rahisi ya kuachana na mpenzi wako,ni ku-save namba yake ya simu kwa jina la machukizo mfano:-mweu,chizi,bogus,taahira n.k Siku atakapojiona tu,ataanzisha fujo na ndio itakuwa chanzo cha kutaka kuachana.
hahah nataka kujua hii plan kwako ili work kwa % ngapi,

wale viumbe uwajui kumbe, wakiamua kulipisa kisasi utaomba poo
 
Ndoutakua umeamsha mahaba maana hayo majina mengine yashakua common
 
hahah nataka kujua hii plan kwako ili work kwa % ngapi,

wale viumbe uwajui kumbe, wakiamua kulipisa kisasi utaomba poo
ha ha ha ha we ukimchoka tu tumia hii plan na muache awe anashikashika simu yako,siku akijiona umem-save shetani,lazima pachimbike mkuu
 
Back
Top Bottom