Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,860
Jamani kiukweli nina hamu na kuangalia haya mashindano japo liking'amuzi nalotumia inaonekana hawaonyeshi...
Rasmi mwaka huu nmeamua kutupa na kuacha kabisa kutumia hiki ki STARTIMES
Yaani wanaboa afu wanaulizwa kwenye page yao INSTAGRAM badala ya kujibu wanapost tamthilia za WARRIS seriously??? Yaaani wanashindwa kwenda na currently events????
Yaani nna hasira paka nataka kupasuka...
Naomben ushauri ninunue king'amuzi gani kizuri....