Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani. Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa...
4 Reactions
363 Replies
19K Views
Ukinywa soda pressure unapunguza ya damu na ndo maana hata ukichwana na kiwembe au kisu damu haitoki Sana INATOKA kidogo kidogo Kwa hiyo nawashauri hata bia sio nzuri Ina matatizo kidogo ukinywa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nijielekeze ktk hiki kisa moja kwa moja maana mambo ni mengi halafu muda ni mchache Baba baada ya kufiwa na mkewe alikaa alone kwa muda wa miaka miwili hapo tayari alikuwa na...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada.. Kuna binti mmoja nampenda sana na hata yeye analijua hilo nili mu approach tena nikiwa serious kwamba nataka kumuoa. Alinikatalia juu ya ombi langu hilo. Kama...
1 Reactions
88 Replies
7K Views
Habar wana MMU! Leo ktk kijiwe cha kahawa kodogo pand flan za temeke wailes kulikua na debate ya kushato kati ya wadada flan wawili na kundi la wakina baba(wadada walipitia kuuza mihogo&karanga)...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wasalaam Wakuu nimekaa na kutafakari yani naona kama vile mapenzi ni kupoteza muda tu kwa vitu vya kipuuzi, Full of stress Kupoteza hela Kupoteza muda Kukosa amani Yaani mimi nahisi mapenzi kwangu...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwanaume akiwa na ela ny.yegge zinakuwa ziko juu sana....hakiishiwa zinakuwa chini.Na kwa mwanamke akiishiwa zinakuwa juu sana,na akiwa na pesa zinashuka;Je kuna ukweli wowote?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarin wanna jamvi Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja Kila mwanaume anaumizwa na mapenzi ila tunatofautiana ukubwa wa maumivu. Maumivu hayo tunaweza kusema ni ubatizo wa Moto yaani...
25 Reactions
144 Replies
14K Views
Wakuu nimetoka kama kawaida yangu simnajua tena wikiendi Nimekutana na mkaka hapa kanikuta nimekaa kwenye meza pekeyangu akataka mazoea na mimi basi akataka kuniagizia kinywaji nikamwambia...
1 Reactions
101 Replies
7K Views
Ukiwa na rafiki yako Wa kike (mpenzi) mmekaa miezi minne then ukatokea kumjali sana halafu baadae yeye akaanza kama kukubadilikia na kukupotezea hivi dawa si na wewe unampotezea wanajamii forums.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi...
1 Reactions
7 Replies
886 Views
Enzi zile tuko shule ya up ili tulishaanza kuwinda wasomi. Sasa nina best yangu yeye alimpata mkaka wa SUA na mwingine yuko UDSM. Yule wa SUA alikuwa mpenda kitabu sana, mtu makini, yaani...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyie mnawezaje kuwa na mwanamke ambae havai shanga,cheni hata akikosa basi hata kamba ya katani. Mwanamke avae shanga..anyoe kipara..na wewe unyoe kipara..daaa halafu mkutane ile staili ya chama...
18 Reactions
451 Replies
109K Views
Gamboshi is real. Ndungu zangu wanajamvi, wiki iliyopita nilikuwa katika safari zangu za kila siku za tafiti. Moja ya tafiti ambazo nimejikita nazo ni tafiti za kitamaduni na mali kale. Kwanza...
6 Reactions
61 Replies
55K Views
I'm John from dar es salaam looking girlfriend, around Dar es salaam age between 22 and above. Am single not black not white, am empolyed. For more details contact me through this number 0714540040.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ijumaa nyingine tena hiyo...mchukue mwenzako angalau mkapate moja baridi.Haijalishi kipato ni kidogo au kikubwa ata nyuma ya nyumba yako unaweza kumtoa out na kuteta naye maneno mawili matatu,huku...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Ndoa za wazaz wtu zilikuwa znaumu maana walikuwa wannalala vitanda vya 4*5 wakigombana usiku lazma wapatane lkn siku hiz wananndoa wanalala 6*6 au 5*6 usiku kila mtu na kona yake pale ugomv...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibia mademu zangu wote nianodate nao wana smatphone, Nina imani kabisa kati yao basi kuna ambao wanatumia JF kwa sababu nilishawahi ona Apps ya jamii forum kwa baadhi yao kwenye simu zao, sema...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na uzao kutokuwa na mvuto.Mtu alitegemea azae mtoto mwenye muonekano fulani,lakini kutoka na sababu zilizopo nje ya uwezo wake akaja tofauti.Kuna makala moja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nina Laki moja(100k) sasa nimeshidwa niandae zawadi gani kwa ajiri ya harusi ya Rafiki yangu msaada wenu tafadhali Kwa pesa hiyo naweza nikawaandalia zawadi gani. Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom