Nyox official
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 597
- 455
Polen kwa majukumu wakuu,kama kichwa kinanavojieleza hapo juu,ningetaka kujua,iv inakuaje x wako anakua anakusumbua sanaa na txt pamoja na calls nyingi tu huku keshamua kukuacha na kwenda kwa mwngine tena kwa mbwembwe kibao?